By hair
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 141
- 37
Ukweli kuhusu maisha ya wanandoa hasa katika kipengele cha usafi ni kwamba,Ukikuta mwanaume ni msafi,basi Mwanamke atakuwa mchafu.Na Mwanamke akiwa msafi,vilevile mwanaume atakuwa mchafu.Sasa hapo usipokuwa makini ndoa itakushinda mapema.La kufanya asiye na mapungufu amwambie mwenzie wapi anakokosea.Shida wanandoa wanaogopana kuhusu swala Hilo.Ukiwa mwuwazi kwa mwenzio nae aliye na mapungufu akawa mwelewa,basi maisha yatasonga.