Huu ndio ukweli kati ya US & China Trade War

Kutokana na facts zilizopo katika hii video. China is seriously fighting a losing bettle.

US wanahitaji cheap labor na manufacturing
China anahitaji soko la US na kuendelea kuiba technology.
Bettle maana yake nini kiongozi ?

Wengine tulikimbia umande
 
China haiitegemei USA hata kidogo, China inapiga Dunia nzima, Makoloi ya Africa kakamata yote Congo misitu na madini, Kenya Zambia, Tanzania barabara na viplastic mpaka magari
USA ni kiwewe cha HUAWEI ndio anatapatapa
niambie tuna bidhaa gani za USA anzia na electronics mpaka kina ALIBABA
sijui umepimia battle lipi
 
Maelezo yako yamekosa objectivity
 
China haiitegemei USA hata kidogo, China inapiga Dunia nzima, Makoloi ya Africa kakamata yote Congo misitu na madini, Kenya Zambia, Tanzania barabara na viplastic mpaka magari
USA ni kiwewe cha HUAWEI ndio anatapatapa
niambie tuna bidhaa gani za USA anzia na electronics mpaka kina ALIBABA
sijui umepimia battle lipi
"Kwa Hisani ya Watu wa Marekani"
 
Kutokana na facts zilizopo katika hii video. China is seriously fighting a losing bettle.

US wanahitaji cheap labor na manufacturing
China anahitaji soko la US na kuendelea kuiba technology.
Mkuu

Nimeshindwa kuelekea ulichojaaliwa kusema Mara video ambayo haionekaniki Wala link haipo
 
"Kwa Hisani ya Watu wa Marekani"
Labda dawa za UKIMWI na neti za mbu, jiongeze basi, hio miradi yao wanapiga hela ndefu ww unakaa eti kwa hisani ya watu wa MAREKANI ww unafaidika nn, tunaongea mambo ya maana, hapo ulipo kuanzia vitu vya nyumba yako mpaka simu hio unayotumia vyote made in China, tuambie baada ya hio nyavu ya neti unayotumia je kitu gani unatumia cha marekani [emoji23]
 
China haiitegemei USA hata kidogo, China inapiga Dunia nzima, Makoloi ya Africa kakamata yote Congo misitu na madini, Kenya Zambia, Tanzania barabara na viplastic mpaka magari
USA ni kiwewe cha HUAWEI ndio anatapatapa
niambie tuna bidhaa gani za USA anzia na electronics mpaka kina ALIBABA
sijui umepimia battle lipi
Mkuu hauko sahihi kabisa zaidi ya robo ya mauzo ya nje ya China yanelekea US. China hategemei kabisa Africa mana ni nchi ambazo uwekezaji wao mwingi unageuka kuwa mufilisi hivyo kwao Africa sio kitu cha maaana sana kwao. Cheki video anagalia data zilizoainishwa utajua ukweli uliko. Hapa China wanajua wanadeal na king of laverage. Kwa miaka 8 hii wachina watadrop amini hichi kitu.
 
Mkuu hauko sahihi kabisa zaidi ya robo ya mauzo ya nje ya China yanelekea US. China hategemei kabisa Africa mana ni nchi ambazo uwekezaji wao mwingi unageuka kuwa mufilisi hivyo kwao Africa sio kitu cha maaana sana kwao.
Cheki video anagalia data zilizoainishwa utajua ukweli uliko. Hapa China wanajua wanadeal na king of laverage. Kwa miaka 8 hii wachina watadrop amini hichi kitu.
hakuna Raia wavivu km waMarekani. kila mahali ni kukaa na kulakula wanajiona wapo juu kila kitu, Mkorea kamvimbia, sasa mIran na mTurkey
tuliosoma zamani tuliaminishwa USA ni bingwa wa VITA kashindwa Vietnam, Somalia,Iraq sasa Syria niambie ni Battle lipi kashinda? au alivyovizia Hiroshima baada ya kupigwa bandari ya Pearly?
wajanja wanamshtukia kichaa wao wanamgomea kila kitu, leo kasumba imetuingia waTZ tuunasifia maNchi ya ajabu yanaotuletea uzazi wa mpango KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI
 
We boya badala ya kuleta fact unaleta mahaba hapa.nmbie nchi gani ambayo haija wahi lose war.
hakuna Raia wavivu km waMarekani. kila mahali ni kukaa na kulakula wanajiona wapo juu kila kitu, Mkorea kamvimbia, sasa mIran na mTurkey
tuliosoma zamani tuliaminishwa USA ni bingwa wa VITA kashindwa Vietnam, Somalia,Iraq sasa Syria niambie ni Battle lipi kashinda? au alivyovizia Hiroshima baada ya kupigwa bandari ya Pearly?
wajanja wanamshtukia kichaa wao wanamgomea kila kitu, leo kasumba imetuingia waTZ tuunasifia maNchi ya ajabu yanaotuletea uzazi wa mpango KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI
 
China haiitegemei USA hata kidogo, China inapiga Dunia nzima, Makoloi ya Africa kakamata yote Congo misitu na madini, Kenya Zambia, Tanzania barabara na viplastic mpaka magari
USA ni kiwewe cha HUAWEI ndio anatapatapa
niambie tuna bidhaa gani za USA anzia na electronics mpaka kina ALIBABA
sijui umepimia battle lipi
China ni mzalishaji wa bidha zinazotegemea tech tok US.
 
ukiangalia kwa data za hivi karibu ongezeko la purchasing power among Chinese inakua kwa kasi ya ajabu hii inaifanya china kuwa soko la kwanza duniani kwa bidhaa za marekani hasa electronics na mavazi hata ukiangalia most of usa giant company like Google,iphones na nyingine kibao wanategemea sana cheap labour toka china na costless material kutoka china so USA anamuitaji sana china kuliko china ambaye ameshampiga panga USA kwenye technologia ya 5G ambayo ina matrilioni of dollars
 
China haiitegemei USA hata kidogo, China inapiga Dunia nzima, Makoloi ya Africa kakamata yote Congo misitu na madini, Kenya Zambia, Tanzania barabara na viplastic mpaka magari
USA ni kiwewe cha HUAWEI ndio anatapatapa
niambie tuna bidhaa gani za USA anzia na electronics mpaka kina ALIBABA
sijui umepimia battle lipi
USA ni soko muhimu la China usidanganye wenzako.

Almost $500billion of exports zinaenda US.

Hakuna mfanya biashara mjinga ataacha soko zuri kama hili.
 
umeielewa Mada iliyoko mezani au umeingia bila breki?
kwa hiyo bila USA, China imekufa hana ujanja wowote
unaijua History ya China ya Mao?
kwanini Trump anahaha kila siku na China
fuatilia China alivyoingia Africa hata Trump ambane Vipi China hatetereki
China anahitaji soko la US na kuendelea kuiba technology.
 
We boya badala ya kuleta fact unaleta mahaba hapa.nmbie nchi gani ambayo haija wahi lose war.
TANZANIA
hivi mnaielewa Mada au mpo tu kuisifia Marekani, China kaingia mpaka Musoma anachimba Dhahabu, anavua samaki, anajenga Barabara
marekani mmemuona wapi, nenda Congo anaiba mbao ndio mseme basi mna mahaba na Marekani hatashindwa Vita
rudi kwenye Mada
Bila Narekani China itakufa kwa kukosa Soko
 
Back
Top Bottom