Huu ndio Uhuni

Yaani Viongozi wa Tanzania huangalia matumbo yao tu,wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa dawa halafu mtu amezuia nyumba na anajiita mkazi wa Arusha
Chawa wajinga watakuja kulitetea na hili
Wewe ukae tu utegemee kiongozi apambanie tumbo lako unalofuga kama kiroba
 
Porojo tu hizi.

Makonda mwenye ukwasi wa kufikia Gran Melia ang'ang'anie kwenye hayo magofu ya serikali??
Mwambie aondoke kwenye nyumba yetu!! Ukwasi wa wizi ni wake yeye. Tangu lini mtumishi wa umma akawa na ukwasi kama sio jambazi???
 
Sina hakika kama Mh Rais hayati Magufuli angeruhusu uhuni huu kufanyika!! Walahi asingeruhusu hii kitu!
Kuna mkuu wa mkoa mmoja kule Mwanza aliwahi kukataa kukaa kwenye makazi ya mkuu wa mkoa anakawa anaishi hotelini kisha nyumba imechakaa zaidi ya miaka miwili inakarabatiwa katika ya mwisho ya Mrisho, halafu alipoingia JPM katonywa duh ilikuwa balaa. Baadae yule mteule alihamishiwa Arusha ambako na kwenye kilichotokea Arachuga wanaweza kusimulia. Aliwafanyizia wapinzani Gambo ni cha mtoto.
 
Mlisema Makonda anaishi Grand melia hotel, imekuwaje tena?
 
Unamwogopa!? Mwambie wazi akupishe kwenye nyumba ya Serikali kama hela ya kulipia hoteli zimeisha, au ulidhani huu ni mchezo?
 
Sema simple and logical question na siyo" logic question". Kiingereza ni ugonjwa sugu kwa Watanzania!
 
Kamchukue ukae naye kwenye getto lako
 
WEZI !!!!!!!
 
Watu wakisema ukweli... ndiyo kumchafua makonda?
Hawa chawa hawana huruma na hii nchi kabisa. Yaani mtu sio mtumishi wa umma, pia ana jigamba yeye ni mwenyeji wa Arusha, halafu ana kaa nyumba ya Mteule wa Rais, sisi wananchi tuna mlipia RC hoteli. Bado wahuni hawaoni kama hili ni tatizo.. Uhuniii
 
Harakati za Uhuru zilianzia Arusha.
Na hata sasa hiyo Arusha is of great interest.
Makonda amekaa hoteli Arusha Mungu tu mwenyewe anajua Makonda amekaa hoteli siku ngapi.
Na sasa unasema Kihongosi yuko hoteli,huyu mtu mkali anaechapa watu viboko. Huyu mtu mkali haamrishi watu wachapwe viboko,huyu anasema," Nitafutie kiboko niwachape hawa wahalifu."
Lakini most interesting ni mambo tunayosikia sasa kwamba Samia Suluhu ni trilionea,anamiliki hoteli huko Arusha.
Usisikilize maneno ya mtu. Mpaka uhakikishe mwenyewe kwamba Makonda katika hotelini.
 
Huu upupu wako umeutoa wapi we bwege? Uzushi ni profession yenu nyumbu. Oktoba tunatiki we zombie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…