Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

1. Person of interest
2Homeland
3.Manifest
4.Revolution
5.Treadstone
6 .Condor
7.Security( single movie)
8.The commuter(single movie)
9.The girl in the spider web(single movie)
10.Black Hawk down(single movie)
11.Black panther
12 .The 100

Hiyo security nimeitazama jana nilivyofika kati ya movie nikajikuta naweka pause niangalie ni movie ya mwaka gani hii nikakuta ni 2017 ila, iko vizuri sana.

Jamaa hana movies nyingine alizo-act aisee inaonesha unajua sana...!
 
1. Person of interest
2Homeland
3.Manifest
4.Revolution
5.Treadstone
6 .Condor
7.Security( single movie)
8.The commuter(single movie)
9.The girl in the spider web(single movie)
10.Black Hawk down(single movie)
11.Black panther
12 .The 100

Hiyo security nimeitazama jana nilivyofika kati ya movie nikajikuta naweka pause niangalie ni movie ya mwaka gani hii nikakuta ni 2017 ila, uko vizuri sana.

Jamaa hana movies nyingine alizo-act aisee inaonesha unajua sana...!
Mkuu unapenda hizo za Barbarian..check hii..Conan the Barbarian...(single movie)

Niliwahi kuziona kitambo hizi nafkiri ni Conan the Barbarian au Conan the Destroyer za Arnold Schwartznneger niliipenda kiasi chake sasa sjui kwa kuwa nilikuwa bado dogo I don't know...!
 
Ni kweli..series naona ugumu kuzifuatilia..ndefu sana.

Kuna series kama Into the Badlands ushaiona kiongozi...?

Zile hata zingekuwa mpaka Season 100 aisee ningeangalia hadi ya mwisho kwa maana HAWAPOI WALA HAWABOI aisee...!

Hamna series inayofanana na ile aisee...?
 
Game of throne umeiangalia?
 
Kuna series kama Into the Badlands ushaiona kiongozi...?

Zile hata zingekuwa mpaka Season 100 aisee ningeangalia hadi ya mwisho kwa maana HAWAPOI WALA HAWABOI aisee...!

Hamna series inayofanana na ile aisee...?
Mkuu sijaiangalia..ila zipo ambazo zimenivutia nimeziangalia..nilizitaja huko juu..kama vile.
1.Treadstone.
2. The Brave.
3. Godfather of Harlem.
4. Shooters.
5. The Bodyguard.
6. Ultimate Force.
 
Ni kweli..series naona ugumu kuzifuatilia..ndefu sana.
Mkuu mimi mwenyewe nimeanza kupata uvuvu kufuatilia movie ndefu, tv series ya mwisho kufuatilia ilikua ni vampire dieries ilikua na 8 season na kila season epsode hazipungui 15.
Ngoja nikupe tv series short na ni kali.
1.American gods
2.The boys
3.the witcher
4.Manifest
5.His dark materials
6.The warrior(weka mbali na watoto 18+)
7....
Nitaendelea
 
Ahsante Mkuu ngoja niingie chimbo
 
Mkuu sijaiangalia..ila zipo ambazo zimenivutia nimeziangalia..nilizitaja huko juu..kama vile.
1.Treadstone.
2. The Brave.
3. Godfather of Harlem.
4. Shooters.
5. The Bodyguard.
6. Ultimate Force.

Kesho nikiingia job nitazishusha mkuu niisogeze swaum mdogo mdogo, unapatikana mkoa gani kiongozi...?
 
Najua humu ndani wengi wenu mnapenda kudownload movies kupitia Netflix Ila tatizo lipo katika kujiunga vifurushi vyao.
Sasa ONDOA shaka
Ninaunganisha Netflix channel itakayokuwezesha kutumia bila kujiunga kifurushi chao yaani ni wewe tu na Mb zako utawatch na kudownload movies hata miaka na miaka.
KWA wale mlio serious ni pm njoo na offer yako

Malipo baada ya huduma au kabla?

Km lengo ni kusaidia malipo yawe baada ya huduma otherwise tutajua ni utapeli
 
Kuna series kama Into the Badlands ushaiona kiongozi...?

Zile hata zingekuwa mpaka Season 100 aisee ningeangalia hadi ya mwisho kwa maana HAWAPOI WALA HAWABOI aisee...!

Hamna series inayofanana na ile aisee...?
tafuta revolution (2012) na the 100 na series flani inaitwa terra nova
 
Hiyo security nimeitazama jana nilivyofika kati ya movie nikajikuta naweka pause niangalie ni movie ya mwaka gani hii nikakuta ni 2017 ila, uko vizuri sana.

Jamaa hana movies nyingine alizo-act aisee inaonesha unajua sana...!

Niliwahi kuziona kitambo hizi nafkiri ni Conan the Barbarian au Conan the Destroyer za Arnold Schwartznneger niliipenda kiasi chake sasa sjui kwa kuwa nilikuwa bado dogo I don't know...!
huyo tafuta na once upon a time in mexico,check na iyo the commuter nakuhakikishia hii utarudia kuicheck mara 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom