Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

App gani mnatumia, namaanisha mb tu
mimi natumia simu nina samsung A50

site ni yts.mx

app ya kushushia file ni flud

mb ni wewe mwenyewe utajua unakozipata maana kuna mitandao lukuki, wengine tuna unlimited tunapimiwa speed tu.
 
Mkuu tunaomba darasa zaidi mkuu hasa hyo link ya kwanza na je naweza nikadownlod ikiwa na subtitles kabisa??
Jibu fupi huwezi, ila sometime movies nyengine zinakuwa na subtitle ndani.

Player nyingi lakini zina uwezo wa kudownload subtitle.
 
Ingia hapa..yify movie kwa google search au popcorn

Mkuu hebu naomba majina ya movies kali za mwaka jana mfano wa Extraction and the like tafadhali...!

Au hata kama kuna mdau yoyote mwenye kujua anisaidie kushusha list za movies za aina hiyo please.

Natanguliza shukran wakuu.
 
Kuna Marksman na No body na wadau wanazisifia Sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom