Huu ndio msosi wa bachela

Kuna kaka yangu anapenda sana kupika, ila sasaaaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Akipika jiko lote linachafuka na vyombo karibia vyote, halafu haoshi vyombo hata kwa bahati mbaya.
 
Dona hiyo mkuu ila picha imeonekana nyeupe sana
Nikajua mtaalamuna unakula chakula Cha kina [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] tena inatakiwa upate udaga kabisa au ugali wa mtama

Alafu asbh uji wa unga wa mohogo+ karanga likitoka hapo Cha kahawa kinajaa mpka pomoni na zygote juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kinachokufanya uchafue ni nini?
Unarushia vitu ukiwa mbali unaogopa kurukiwa na mafuta?
Adha tunazopata mabachela wakati wa kupika, usipime..

mafuta kidogo tu yanakurukia, ugali(hatua ya uji) ukiwa unatokota unaruka unuunguza [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa mwendo huo lazima ujihami na ndio chanzo cha kuchafua jiko
 
Si unaona sasa!! Ushaniona mtoto mwenzio[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kimbo au cowboy tumepikia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba swalehe anatunza chumvi kwenye kopo la bluebend. Zamani alikuwa anatunzia kwenye kopo la Kimbo. Sijui kama ulizaliwa ukayakuta haya mafuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…