Max kissey
Member
- Jan 28, 2016
- 81
- 63
Karibu ONITSHA,NIGERIA
Mji mchafu kuliko yote barani Afrika.
g[/IMG]
Mji mchafu kuliko yote barani Afrika.
Hapana...walikuwa wametoa ripoti ya Africa..na sio wazungu..ila kama ukitaka ripoti ya dunia nzima ipo pia..kuna miji uko india na south america hatar.Uchafu si unazoleka tu sema tu hawa wazungu
Wamezidi kutupambia na maripoti ya kipuuzi uchafu wa Africa wao unawahusu nini, nimeona io listi haina ata mji mmoja wa ulaya au amerika kusini hawana jipya si africa uchafu tushauzoea, morogoro iko nafasi ya 33
Nhahahaha....hatari sanahata hili wanasubiri wazungu wawasaidie? kazi kwelikweli