Huu ndio mchezo wanaochezewa UKAWA

Mkuu kwanza za siku tele upo?

Ukawa wanajichezea wenyewe na uroho wao wa madaraka na kutaka wapate vya haraka hata kama hawastaili.

Umeacha WAROHO wa MADARAKA ambao wanaununua kwa PESA za WIZI unakwenda kwa watu wanaojinadi?Ukiwa MPU....MBAVU basi ufiche japo kidogo,tumia akili ya kuzaliwa siyo kila wakati unaropoka..........Acha kama umezoea ATM basi safari hii imefungwa
 
bila tume huru kupatikana ukawa wasahau kuingia ikulu
 

CCM wanaji-kurunzinza kupitia Tume yao, waangalie isije kuwa kama Jonathan wa Nigeria...alianza 'ukurunzinza' lakini wapi ilipofikia kung'oka, aliambulia mabua! CCM haina pa kutokea!
Makene na Makamanda wote wa UKAWA, wekeni tayari 'viona-mbali vya intelijensia' kuyaleta yote yaliyo 'sirini' yaje upenuni hapa tuyalipue, CCM na Tume yao waendelee kukimbiana...hakuna kulala!
 
Last edited by a moderator:
bila tume huru kupatikana ukawa wasahau kuingia ikulu


Mbona hata hiyo tume huru isomekavyo kwenye rasimu ya katiba pendekezwa ina ukakasi mkubwa mbo, kwa uelewa wangu nilijua kwamba mgawanyo wa wajumbe wa Tume utazingatia itikadi za kisiasa - kumbe duuuuh lahaullaaaah!
 
Hilo lilikuwa linajulikana. Ukawa walifanyie kazi
 
Tutakinukisha mbona...oh hooo...!!!!!🔞🎥🔞🎥🚯🚯
 
Tunajua kuhusu michezo mingi ya chama kilichochoka na nec. Tuko tayari kukabili yatakapodhihiri!
 
UKOMBOZI NI LAZIMA, itafikia wakati wanatupiga mabomu na risasi tuwatambue na koo zao kama sio familia zao
 
UKAWA ni wananchi nasidhani kama ukawa wanaweza kukubali mchezo wa kijinga namna hiyo
Wengi wanadhani watu wote waliopo tume ya uchaguzi wanafurahia mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. Sasa hivi ndani ya serikali na hata ndani ya CCM yenyewe hakuna siri. Watakalolifanya lolote lita-leak tu.
 
Hiyo ni sawa na kuzuia mafuriko kwa vidole. I can smell something bad, nashauri kama vipi tufanye kama tulivyofanya serikali za mitaa watapata kichapo ambacho hawatasahau maisha yao yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…