Kitu mnachonichekesha ikitokea mnapiga story zenu hapo bawacha ndiyo mnafanya habari.Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.
Mkuu kwanza za siku tele upo?Sijaelewa UKAWA wanachezewaje hapo!
Mkuu kwanza za siku tele upo?
Ukawa wanajichezea wenyewe na uroho wao wa madaraka na kutaka wapate vya haraka hata kama hawastaili.

Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.