Huu nao ni ukweli mchungu kwa wanandoa

Huu nao ni ukweli mchungu kwa wanandoa

Ni vema ukaweka heading yako namna hii,"ukweli mchungu kwa wana ndoa wasiojitambua"Maana wapo wanandoa wengi tu wanafurahia na kuona fahari kuwa na familia wala hawana wazo la kuachana.Acheni kutisha watu ili tujenge kizazi chenye maadili...!!
Umenizuia ku-comment mkuu thanks!!
 
mrs air unaitwa huku!

haahahah ameamua kutufungukia! mtoa mada sio wanawake wote tulilazimishwa kuolewa!wanawake wengne hawanaga mawazo ya kuolewa inatokea tu mwanaume' amepondeka' moyo na kubembeleza akuoe! pia usiijali sana sasa hv wanawake ni strong sana !endeleen na kufurahia vifurushi vipya tu mkuu! Heaven Sent ,Nalendwa !njoeni muongeezee bila kumsahau dada mwema
 
Huh hiyo robo tatu sijui utafiti ulifanyika kwa watu wangapi. Na kuna wanaume wa maana wako kwenye ndoa na wanalinda ndoa zao vizuri tu, sio mzigo wetu peke yetu.
Halafu tatizo lingine ni hili kuna baadhi bado wanafikiria wanawake wa sasa ni kama wa siku za nyuma, kumhitaji mwanaume kwa mengine zaidi ya ndoa.
 
haahahah ameamua kutufungukia! mtoa mada sio wanawake wote tulilazimishwa kuolewa!wanawake wengne hawanaga mawazo ya kuolewa inatokea tu mwanaume' amepondeka' moyo na kubembeleza akuoe! pia usiijali sana sasa hv wanawake ni strong sana !endeleen na kufurahia vifurushi vipya tu mkuu! Heaven Sent ,Nalendwa !njoeni muongeezee bila kumsahau dada mwema
Waache waendelee kujipa moyo. Wanafikiri wanawake zao ni kizazi cha wahenga teh
 
Back
Top Bottom