Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Kwa Makonda.aya mkuu ila uko wapo?
Kwa Makonda.aya mkuu ila uko wapo?
mkuu umesahau 0718899Wazuli kwa macho kitandani hamna kitu.labda kwa wapenda 07112233445677
Kuna siku natoka Kariakoo. Basi likaharibika SHEKILANGO, kuna MSAMBWATA ukaamua kutembea kwa mguu. Nikaunga nao nyuma nyuma, bila kujitambua, kutahamaki nishafika KIMARA KOROGWE!aya mkuu ila uko wapo?
aya mkuu ntakutafuta one dayKwa Makonda.
Muhimu. Usikose. Mimi Pombe No. Sigara No. Kubet No. Ila hawa watu daaah.aya mkuu ntakutafuta one day
Kuna siku natoka Kariakoo. Basi likaharibika SHEKILANGO, kuna MSAMBWATA ukaamua kutembea kwa mguu. Nikaunga nao nyuma nyuma, bila kujitambua, kutahamaki nishafika KIMARA KOROGWE!
Hatari sana.Haa haaa hio tunaitaga over my dead heart hatare kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mkuu hapo ndo chakula ya roho ile kitu roho inapendaga na ikiipata basi inakuwa imetiishwa.Muhimu. Usikose. Mimi Pombe No. Sigara No. Kubet No. Ila hawa watu daaah.
Kuna Lecturer wangu mmoja MSAMBWANDA anaita OPTICAL NUTRITION.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mkuu hapo ndo chakula ya roho ile kitu roho inapendaga na ikiipata basi inakuwa imetiishwa.
haa haaa hii kitu sasa hivi sijui ndo shetwain amefanya sifa au fashion Maana ukitembea hapa na pale huu hapa huku kule hii hapa kibao unakutana nayo wewe kazi ni kuzingizia kufunga namba za viatu[emoji23]Kuna Lecturer wangu mmoja MSAMBWANDA anaita OPTICAL NUTRITION.
Kuna siku natoka Kariakoo. Basi likaharibika SHEKILANGO, kuna MSAMBWATA ukaamua kutembea kwa mguu. Nikaunga nao nyuma nyuma, bila kujitambua, kutahamaki nishafika KIMARA KOROGWE!
Mkuu huyu MSAMBWANDA aliishia hapoUngepitiliza hadi Mbezi in [emoji16][emoji23]
Nadhani Fanya haraka sana tutolee wapuuzi hawaNtaanza kuwapiga ban maswala ya kuleta picha bila namba naongea kwa mara ya mwisho