Huu mtiririko una kasoro mahali

Umesahau hotuba ya SIMAI,

Kumbuka na leo kuna mipasho ya UVCCM Kawaida!!

Orodha iendelee mpaka siku Moja joka litoke pangoni
 
Mkuu 'Mshana'. Haya nilikuwa/sijapata kuyasikia toka kwa mtu huyu.

Huu siyo uigizaji; huu siyo ulaghai.

Kama ametumwa kufanya ulaghai wa aina hii, na hao waliomtuma wakafikiri anawafanyia kazi nzuri....

Basi na mimi naanza rasmi kumsikiliza anayosema; maana yanaingia akilini moja kwa moja.

Huyu anazungumzia Tanganyika/Tanzania; na yeyote anayefanya hivyo sisiti kumpa sikio.

Nasubiri sasa azungumzie chama chake, kama kipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…