Viuno vya mwandambo sijaviona
Nenda tick-tock 😂😂😂😂Viuno vya mwandambo sijaviona
View: https://vm.tiktok.com/ZSX7crX6o/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Kuna kitu kinaitwa 'sayansi ya siasa'na hii watu wakaa darasani sana kusomea .Shehe mmiliki wa makundi ya kigaidi
Kashfa ya shehe wa Dar na utenguzi
Mtangane wa Ostaz Juma na Kishk
Tamasha la bongo fleva
Vituko dhalili vya kukata miuno vya Mwandambo
Speech ya Nchimbi
Hayatokei kwa bahati mbaya haya.. Kuna mkandarasi nyuma yake.. Na anajulikana
Ghafla Ostaz Juma na Bela wametoweka🤣Kuna kitu kinaitwa 'sayansi ya siasa'na hii watu wakaa darasani sana kusomea .
Hivi linapotokea tatizo au mfumuko wa kitu fulani serikalini chapu inatengenezwa ' kombora ' hewa l kuhamisha ule upepo uelekee sehemu ingine ili kuhamisha upepo wa wakali uliopo.na hii natafuta mtu maarufu fulani anahamish ki style.kwa mfano sa hiv upepo umehamia kwa tamko la nchimbi.
Hii inasahaulika kwa wananchi vifo vya 29 vile.
Umeona ee na mwandambo hutomsikia tena hadi itokee jambo tena ..Ghafla Ostaz Juma na Bela wametoweka🤣
Nenda tick-tock 😂😂😂😂
Uzuri ni kwamba huko ndani kuna mapande matatu na hayapatani kabisaUmeona ee na mwandambo hutomsikia tena hadi itokee jambo tena ..
Huyu makamu anajaribu kujisafisha ili mioyo ya wananchi ihamie kwake mana 2030 washaona kugumu mno na mama yenu kashaambiwa ake kumya kila atakacho sikia
"Speaker haina Sumaku"...Kwani huyu mwandambo walimfanya nini mbona kama speaker haina sumaku
Yani tukio la October litoweke Kwa maneno ya nchimbi? Ni mpumbavu tu ndio atafikir hivyo, hilo tukio hata aje nani haliwezi kutoweka labda kupoa kidogo na mtu akilizungumzia linaanza upya tena kwa Kasi.Kuna kitu kinaitwa 'sayansi ya siasa'na hii watu wakaa darasani sana kusomea .
Hivi linapotokea tatizo au mfumuko wa kitu fulani serikalini chapu inatengenezwa ' kombora ' hewa l kuhamisha ule upepo uelekee sehemu ingine ili kuhamisha upepo wa wakali uliopo.na hii natafuta mtu maarufu fulani anahamish ki style.kwa mfano sa hiv upepo umehamia kwa tamko la nchimbi.
Hii inasahaulika kwa wananchi vifo vya 29 vile.
View: https://vm.tiktok.com/ZSX7crX6o/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Au wewe unamuonaje dingi?"Speaker haina Sumaku"...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣