kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
- Thread starter
-
- #21
Unaitwa upungufu wa nguvu za kiume...
Btw acheni uzinzi na uasherati subiri hadi uolewe ndio uanze kugawa kitumbua chako bi mkubwa...
nikajua butu ni vitu vyenye asili ya chuma kumbe hata vyenye asili ya ngozi huweza kuwa butu? ohoo
Unaitwa upungufu wa nguvu za kiume...
Btw acheni uzinzi na uasherati subiri hadi uolewe ndio uanze kugawa kitumbua chako bi mkubwa...
una uhakika sijafanya juhudi za kumsaidia?kwanza kua nae mpka sasa ni support kubwa tayari.!
una uhakika sijafanya juhudi za kumsaidia?kwanza kua nae mpka sasa ni support kubwa tayari.!
....mjaribishe banda la uani.....
LOL kama huna ushauri ni vyema ukawa kimya tu
duh..kazi kweli.!unadhani tungefika kwenye ndoa bila kujua hili tatzo kungekalika?
....mjaribishe banda la uani.....
Ww uliokua nae bikra?? Ukute ata marinda yote yameisha.!ebu nitolee kichefu
kabintispecial? babu anasimamaje na kunywea wakati wewe ni mwanamke?nina mpenzi wangu nampenda kuliko maelezo..yaani i could say nawish awe wangu wa milele..sasa tatizo linakuja tukiwa kitandani..wakati wa romance babu anasimama vizuri tena anakua na joto hatari..ila nikimshika tu anaanza kunywea,tukijaribu kufanya romance na simshiki akajaribu kuingia sekunde 5 chache..hamna kitu..nifanye nin jamani
Kamuone daktari
nina mpenzi wangu nampenda kuliko maelezo..yaani i could say nawish awe wangu wa milele..sasa tatizo linakuja tukiwa kitandani..wakati wa romance babu anasimama vizuri tena anakua na joto hatari..ila nikimshika tu anaanza kunywea,tukijaribu kufanya romance na simshiki akajaribu kuingia sekunde 5 chache..hamna kitu..nifanye nin jamani
wacha bana kabintispecial ushajichokea wewe huna ubinti tena, unachefua wewe unayeleta habari za kipuuzi hapa
sio ugonjwa ni uoga na kutokuzoea/inexprience atakua normal baada ya mda flani
Mwanaume mzma kazi kusutana na mwanamke ntakuvalisha sketi..huna haya..!kama topic ilikukera si ungekaa pembeni..------ umekuwasha mpka ukajileta..kashuguliwe uko.!usitake tutukanane huniwezi kabsa
kabintispecial sina historia ya kubishana na matahaira kama wewe, na wala sijui nini maana ya kusutana, hivi wewe ni mwanamke au janamke? stupid