venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,223
- 3,169
Halow mpo salama?
Hako ka msemo ka SAMAHANI MPENZI WANGU NI SHETAN KANIPITIA huwa kana sehem maalumu ya kutumika, sana sana kanatumiwa na jinsia flani hivi imefika hatua mpaka inakera kusikia neno "SAMAHANI NI SHETANI KANIPITIA" Maana linaambatana na dharau juu yako unayeombwa msamaha.
Nahisi mtakuwa mmejua kanatumika katika mazingira gani, je mpenzi wako anavochelewa kurudi nyumban, au mpenzi wako anavyokupiga kibao, anaweza kutamka hivyo? Au haka ka msemo ni maalumu kwa kosa maalumu tu? Mi nahisi SAA nyingine shetani anasingiziwa mengi sana.
Msemo huo na aina hii ya uombaji msamaha inakela sana. Tafakari uliwahi kuombwa hivyo msamaha na mpenzi wako? Ulimsamehe au ulihisi anakukejeli?
Ilitumia siku ngapi au mda gani mawazo juu ya kosa ilo kufutika kichwani mwako?
Tafakari toa jibu.