Huu msemo una maana gani?

Huu msemo una maana gani?

Yule mke wa mtu uliye kua unamsugua chooni bwana ake sasa anakuja kukupaka ky Gest na yeye anaenda prison simple like that
 
Jaman naomba kujuzwa, kuna jamaa aliniambia kuna jela na gesti, ana maanisha nini.
hahaha snetensi ile umeiletea thread hahahahaa nadhani anamaana ufungwe au jamaa akufanyizie kwa hasira za wewe kumgusa wife wake...assuming hapo mambo yamejulikana kama utaendelea kugegedana naye
 
Back
Top Bottom