Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 446
- 1,392
Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya.
Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?
Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?