Huu mkoa kila mwanamke ninaepishana nae ana ndevu

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Nipo Mbeya hapa kuanzia Uyole, Rungwe, Kyela, Chunya na kila ninapopita napishana na wakinamama wana ndevu. Sasa sielewi jamii za huku ndo walivyo au...au Kuna mkoa mwingine wapo kama huku maana ndevu tena kwa mtoto wa kike mbona naogopa aisee..
Huko kwenu vipi?
 
Back
Top Bottom