Hujui makubaliano yao yakoje, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar huwa inasaini mikataba ya kimataifa kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kukubaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Wakishakubaliwa hawahitaji kuonesha kwenye mkataba kwamba wamekubaliwa, kwa sababu hilo ni suala kati ya SMZ na serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.Sasa hivi wamesaini mkataba na Wafaransa kama Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wafaransa kuendeleza Bandari.Ingeipa mamlaka hua wanaandika kitu fulani kwa niaba ama mfano, ingekuwa UAE kisha pale chini yakawa Dubai.
Mfano:
United Republic of Tanzania
Local Government, Simiyu region.
Ila Hii unaona hata ile heading pale juu siyo UAE bali ni Dubai, kisha dubai anampa mtu mamlaka fulani kusaini. Haya ndo mambo yakutolea ufafanuzi kwa facts.
Uhalali wa Dubai kusaini ndo una establish uhalali wa mkataba, sasa utajua je kama kweli huo mkataba ni halali ama ni kundi la watu wachache kutumia brand ya DP world na Dubai ili kutupiga?
Hujui makubaliano yao yakoje, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar huwa inasaini mikataba ya kimataifa kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kukubaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Wakishakubaliwa hawahitaji kuonesha kwenye mkataba kwamba wamekubaliwa, kwa sababu hilo ni suala kati ya SMZ na serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.Sasa hivi wamesaini mkataba na Wafaransa kama Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wafaransa kuendeleza Bandari.
Hiyo point yako si material, ndiyo maana hata TLS hawajaitaja.
Whether Dubai ilikuwa nchi ikaungana na Emirates nyingine na kuwa jimbo la UAE, au ni jimbo la UAE tangu awali is immaterial.Si muhimu.Umeleza mkuu vizuri, lakini Dubai siyo kama Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi ikaungana na nchi nyingine kama ilivyokuwa Czech na Slovakia. Dubai ni mkoa toka awali ndani ya UAE, ninamashaka sana kama kweli walisaini mkataba wa IGA na Dubai.
Mh! Kwani mkataba ni baina ya Tanzania na Dubai au Tanzania na DPW?Whether Dubai ilikuwa nchi ikaungana na Emirates nyingine na kuwa jimbo la UAE, au ni jimbo la UAE tangu awali is immaterial.Si muhimu.
Kitu muhimu ni kwamba, Je, Dubai ina idhini kutoka kwa UAE kusaini mkataba huu?
Ikiwa Dubai ina idhini ya UAE kusaini mkataba huu, hoja ya kwamba Dubai haina nguvu za kusaini mkataba huu inavunjika, kwa sababu idhini ya UAE inaifanya Dubai iweze kusaini mkataba huu.
Na mpaka sasa hatujui kama Dubai ina au haina idhini ya UAE kusaini mkataba huu, na Dubai watakuwa wajinga sana kufanya biashara kubwa hivi bila hiyo idhini.
TLS wenyewe wamesema hili suala linahitaji mtu anayejua mambo ya UAE, kwa sababu si kila kitu kinawekwa wazi, kuna mambo mengine yanawekwa siri strategically.
Tujadili mapungufu ya mkataba, hoja ya kwamba Dubai haina nguvu ya kusaini mkataba ni hoja tata, TLS wenyewe wamesema hilo katika uchambuzi wao, tuna gap of information ambayo inatufanya tusiweze kujadili hili na kufikia conclusion either way, lakini all logic seems to indicate Dubai wamepata idhini ya UAE, hawawezi kufanya biashara kubwa hivi bila idhini hiyo.
Intergovernmental Agreement ni kati ya Dubai na Tanzania, DPW ni kampuni ya serikali ya Dubai.Mh! Kwani mkataba ni baina ya Tanzania na Dubai au Tanzania na DPW?
Mtia saini kwa upande wa Dubai (KAMA NCHI) ni nani? Maana kwa Tanzania ni waziri wa JMT!Intergovernmental Agreement ni kati ya Dubai na Tanzania, DPW ni kampuni ya serikali ya Dubai.
DPW haiwezi kufanya intergovernmental agreement, kwa sababu DPW si government, ni kampuni.
Mtia saini si muhimu, kwa sababu anaweza kuwa deputized. Kitu muhimu ni mkataba unasemasemaje, ni mkataba wa nini? Aanatia saini kwa niaba ya nani?Mtia saini kwa upande wa Dubai (KAMA NCHI) ni nani? Maana kwa Tanzania ni waziri wa JMT!
Oukey. Kwa hiyo huyo CEO ameiwakilisha nchi gani?Mtia saini si muhimu, kwa sababu anaweza kuwa deputized. Kitu muhimu ni mkataba unasemasemaje, ni mkataba wa nini? Aanatia saini kwa niaba ya nani?
IGA ipo hapa
Upande wa Dubai ametia saini CEO wa Ports Customs and Free Zone Corporation, for the Emirate of Dubai.
Amewakilisha Emirate of Dubai, soma ukurasa wa 35 wa makubaliano.Oukey. Kwa hiyo huyo CEO ameiwakilisha nchi gani?
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?
No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"
Hakuna nchi Dunia ijulikanayo kama Emirate of Dubai.Amewakilisha Emirate of Dubai, soma ukurasa wa 35 wa makubaliano.
Intergovernment agreement si lazima iwe ya nchi na nchi, usichanganye international agreement na intergovernment agreement.Hakuna nchi Dunia ijulikanayo kama Emirate of Dubai.
Na kama serikali hiyo ya kijiji ikipata idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi, serikali hiyo ya kijiji inaweza kusaini intergovernment agreement na nchi ya kigeni.Intergovernment agreement si lazima iwe ya nchi na nchi, usichanganye international agreement na intergovernment agreement.
Hata serikali ya kijiji inaweza kusaini intergovernment agreement na serikali nyingine ya kijiji.
Na kama serikali hiyo ya kijiji ikipata idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi, serikali hiyo ya kijiji inaweza kusaini intergovernment agreement na nchi ya kigeni.
Usichanganye intergovernment agreement na international agreement, you don't need to be a nation to have a government.
Kuna serikali za majimbo, mikoa, semi-autonomous parts of nations kama Zanzibar.
Zanzibar nayo si nchi, lakini inaweza ku sign intergovernment agreement na nchi za nje ikipata idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikli ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Usichanganye government na nation, unaweza kuwa na government bila ya kuwa na nation.
Dubai ilikuwa nchi inayojitegemea kabla ya kuungana na nchi nadhani saba kuunda United Arab Emirates.Umeleza mkuu vizuri, lakini Dubai siyo kama Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi ikaungana na nchi nyingine kama ilivyokuwa Czech na Slovakia. Dubai ni mkoa toka awali ndani ya UAE, ninamashaka sana kama kweli walisaini mkataba wa IGA na Dubai.
Soma uchambuzi wa Tanganyika Law Society, hayo ni mambo ya ndani ya nchi na wanayajua wao wenyewe, na pengine hawataki kuweka wazi kwa sababu zao.Na kama serikali hiyo ya kijiji ikipata idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi, serikali hiyo ya kijiji inaweza kusaini intergovernment agreement na nchi ya kigeni.
Hapa sasa, nionyeshe idhini ya kinchi inayompa mamlaka hiyo huyo CEO
Good. So, we need verification. What if no?Soma uchambuzi wa Tanganyika Law Society, hayo ni mambo ya ndani ya nchi na wanayajua wao wenyewe, na pengine hawataki kuweka wazi kwa sababu zao.
Ukibisha na kusema Dubai hawajapata idhini, wewe ndiye utatakiwa kuonesha hawana hiyo idhini, na wao si wajinga kusaini mkataba huu.
Hoja yenu imejengwa kwa msingi unaoweza kukanushwa na barua moja tu ya kutoka serikali ya UAE kusema kwamba imeidhinisha Serikali ya Dubai na DPW kuingia intergovernment agreement.
TLS wamesema hili ni suala tata na linahitaji mtu aliye insider Dubai/UAE ku verify.
You are building an argument on flimsy information.
If no, hakutakuwa na tatizo mpaka serikali ya UAE ilete matatizo.Good. So, we need verification. What if no?
Ndugu mimi ni muumuni wa uchumi huru, serikali za kiafrika zimefeli kuendesha hata mashirika muhimu kwa usalama (mfano nishati). Africa ya kusini wanahangaika na shirika lao (kwangu mimi ni uafrika ndio tatizo). Kuleta muwekezaji bandari ili kuongeza tija kwa nchi hapo hakuna tatizo. Tatizo ni lilelile la muda wote kuwa wawekezaji wa nje ndio jibu letu ( kwa mfano umeona mwenyewe UAE wanatumia kimkakati DPW!) Hiyo mikakati kwa kawaida ni kwa usalama na faida yao kwanza!.If no, hakutakuwa na tatizo mpaka serikali ya UAE ilete matatizo.
Zanzibar ilijiunga na OIC, hakukuwa na tatizo mpaka serikali ya Muungano ilipoingilia kati na kusema kwamba Zanzibar haikutakiwa kuingia katika OIC.
Bila ya serikali ya Muungano ku raise objectiin, Zanzibar ilikuwa ishajiunga.
So, first of all, Dubai watakuwa wajinga sana kuingia makubaliano bila idhini ya UAE.
Hapa kuna research inayoonesha jinsi UAE inavyotumia DPW strategically.
There is no way Dubai na DPW hawajapata idhini ya UAE kufanya hiki deal, hawa wanafanya kazi pamoja.
You can make an academic argument kwamba inawezekana Dubai hawana idhininya UAE, but the practical reality points otherwise.
Dubai Ports World as the UAE Foreign Policy Tool
The UAE expands its influence in the Horn of Africa through the corporate giant Dubai Ports World, to contend with other regional powers.www.clingendael.org
UAE imepitisha sheria kabisa ku boost biashara ya bandari through DPW, haiyumkiniki wasiiruhusu Dubai kufanya hili deal.
Soma hapa.
UAE issues new law on Dubai Ports Authority to boost maritime trade
RIYADH: A new law aimed at boosting investments and trade in Dubai’s maritime sector has been issued by Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, vice president and prime minister of the UAE. Under the new law, marine and offshore services provider Drydocks World-Dubai, a part of DP World, will be...www.arabnews.com