johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,499
- 142,746
Ndiyo sababu nchi hii ujambazi na utapeli wa kiasiasa hautakoma kama CCM wataendekeza vilaza kuwaongoza!Ghafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary nk
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao ni za kuungaunga lakini bado Wanafanya vizuri kwenye ustawishaji wa Taifa hili
Angalia kwa mfano Tundu Lisu na Zitto Kabwe hawa Serikali iliwasomesha Vipaji maalumu lakini bado wanatangatanga tu hawana PhD ila Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa kisiasa ni mkubwa tu
Waangalie Mbowe au Augustine Mrema rip walisoma shule za kawaida sana na waliishia kwenye Diploma tu lakini Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa ni mkubwa MNO
Tuachane na haya maCV bhana, hasa wewe Boniyai π
Mungu wa Mbinguni awabariki
Dunia ya sasa Elimu iko Kiganjani, Watu Wana maarifa ya kutoshaKwa hiyo unataka kusema kwamba kwa kuwa wapinzani nao Wana CV mbovu, basi watu wasijadili CV za Viongozi wa Serikali waliopo madarakani???
Au unamaanisha nini???
Kama Sumaye na Diploma yake ya Kilimo!Una tija mkuu kuepusha viongozi wenye CV za ujanja ujanja. Kma una kadiploma we sema tu nina diploma. Ukidanganya elimu unadanganya mengi.
Matendo maovu madogo madogo ndio yanayosababisha maovu makubwa.
Mtoto huanza kwa kudokoa mboga mboga na mia mia home kabla ya kuwa kibaka wa kuiba boda boda
Na akawa waziri mkui fresh wala hakuna aliyemmaindi
Viongozi wengi, elimu zao ni za kuunga unga kama mnyoro wa baiskeli..Ghafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary nk
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao ni za kuungaunga lakini bado Wanafanya vizuri kwenye ustawishaji wa Taifa hili
Angalia kwa mfano Tundu Lisu na Zitto Kabwe hawa Serikali iliwasomesha Vipaji maalumu lakini bado wanatangatanga tu hawana PhD ila Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa kisiasa ni mkubwa tu
Waangalie Mbowe au Augustine Mrema rip walisoma shule za kawaida sana na waliishia kwenye Diploma tu lakini Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa ni mkubwa MNO
Tuachane na haya maCV bhana, hasa wewe Boniyai π
Mungu wa Mbinguni awabariki
Nassari(CCM) ni mkuu wa wilaya na mchango wa Nape ni goli la mkono.Ghafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary nk
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao ni za kuungaunga lakini bado Wanafanya vizuri kwenye ustawishaji wa Taifa hili
Angalia kwa mfano Tundu Lisu na Zitto Kabwe hawa Serikali iliwasomesha Vipaji maalumu lakini bado wanatangatanga tu hawana PhD ila Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa kisiasa ni mkubwa tu
Waangalie Mbowe au Augustine Mrema rip walisoma shule za kawaida sana na waliishia kwenye Diploma tu lakini Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa ni mkubwa MNO
Tuachane na haya maCV bhana, hasa wewe Boniyai π
Mungu wa Mbinguni awabariki
Haya macv si ndo anayoyaponda msukuma kuwa hayana chochoteGhafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary nk
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao ni za kuungaunga lakini bado Wanafanya vizuri kwenye ustawishaji wa Taifa hili
Angalia kwa mfano Tundu Lisu na Zitto Kabwe hawa Serikali iliwasomesha Vipaji maalumu lakini bado wanatangatanga tu hawana PhD ila Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa kisiasa ni mkubwa tu
Waangalie Mbowe au Augustine Mrema rip walisoma shule za kawaida sana na waliishia kwenye Diploma tu lakini Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa ni mkubwa MNO
Tuachane na haya maCV bhana, hasa wewe Boniyai
Mungu wa Mbinguni awabariki
Na akawa waziri mkui fresh wala hakuna aliyemmaindi
Hoja siyo hicho unachokiandika wewe , hoja ni udanganyifuGhafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary nk
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao ni za kuungaunga lakini bado Wanafanya vizuri kwenye ustawishaji wa Taifa hili
Angalia kwa mfano Tundu Lisu na Zitto Kabwe hawa Serikali iliwasomesha Vipaji maalumu lakini bado wanatangatanga tu hawana PhD ila Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa kisiasa ni mkubwa tu
Waangalie Mbowe au Augustine Mrema rip walisoma shule za kawaida sana na waliishia kwenye Diploma tu lakini Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa ni mkubwa MNO
Tuachane na haya maCV bhana, hasa wewe Boniyai π
Mungu wa Mbinguni awabariki
Maneno tu ya mkosaji na kama angemaanisha bhasi asingeung'ang'ania udaktari wa heshima ππHaya macv si ndo anayoyaponda msukuma kuwa hayana chochote
Udanganyifu gani?Hoja siyo hicho unachokiandika wewe , hoja ni udanganyifu
Ndio hivyo hakuna haja ya kudanganya kuwa proud kama msukuma na darasa la saba lakeenzi za Sumaye, waalimu wengi tu walikuwa wa UPE, form four au darasa la 12 kwa enzi zao bado alionekana ni msomi na kazi inamfuata darasani.
Nyakati zimebadilika na mahitaji yamebadilika japo sioni mantiki ya kuwakandia sana na wakati kigezo cha ubunge ni kusoma na kuandika
Kipaji maalum amegundua nini au uwezo wa kukariri madesa ya darasani.Zitto Kabwe kasoma shule gani inayoitwa vipaji maalum?
Uovu wa taifa huanzia kwenye umoja wa kuiba kura.Una tija mkuu kuepusha viongozi wenye CV za ujanja ujanja. Kma una kadiploma we sema tu nina diploma. Ukidanganya elimu unadanganya mengi.
Matendo maovu madogo madogo ndio yanayosababisha maovu makubwa.
Mtoto huanza kwa kudokoa mboga mboga na mia mia home kabla ya kuwa kibaka wa kuiba boda boda
Sio viongozi watu zamani walikuwa na elimu za mashaka sana ,haswa weny pesa kuna mtu alisoma kibaha shule ya vipaji ila hakuwa na ufaulu wa kipaji kisa baba ake alikuwa na pesa .Viongozi wengi, elimu zao ni za kuunga unga kama mnyoro wa baiskeli..