Yap anaishi hapa hapa kwa bashite ila siishi nae home kuna mambo hayaja kaaa sawa[QUOTE="guzman_, post: 20065864, member: 350359
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..
>
NB: wife ana wivu sana
Sijaelewa unaposema bb mkubwa anaishi mtaa wa pili?? ina huyo unayemuita wife hamuishi pamoja au ni aje jombaa?!
Kwa hiyo una wachumba wawili! ni uamuzi wako umuoe yupiYap anaishi hapa hapa kwa bashite ila siishi nae home kuna mambo hayaja kaaa sawa
mbona unajimiksi mara ndomu mara unapiga nje inaonekana wewe ni mzee wa dry kuwa makini usimpe mimba utajutaMm ni ndomu mpaka kukuche au napiga nje sasa yy hilo hafurahii kabisa, na siwezi labda nilogwe
Sawa mkuuMuweke mbali na familia yako tena kuwa mkali muonye aelewe ww ndio wa kwake lkn familia yako haimhusu vingnevyo utaingia na mbwa msikitin uje tena kuomba ushauri hapa jamvin...
Fuata mashart yote ya uchepukaji mapnz ya nchepuko yasikufanye upoteze tahadhar
duuh..ungekuwa upande wetu usingepata shida,bt kMkuu mm ni mkristo pure hii hawaitambui kabisa ..
Ujue na mkeo nae ni mchepuko wa mtu Fulani hivi sehemu Fulani hivi.endelea tuAsalam wandugu
Ni hivi ninamchepuko wangu hapa down town jiji la bashite..sasa huyu mchuchu niko nae kwa takriban miezi 10 sasa.. n bado yuko classic na anajua malove..
Cha ajabu yy n zaidi ya mchepuko..
>anajua nna mke na nna mtoto pia..ila ameniganda mpaka sielewi..na anasikiliza kila kitu nacho mweleza..
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..
>Sometims: za asubuhi sweet nakupenda sana yaan nataman hata mkeo ajue japo nakuhofia kama hata kuelewa ila napenda familia yako.
>Akiondoka bb mkubwa naomba niongee na mwanao mbona hupendi hata nimsalimie
>Please mpnz naomba tuzae walau mtoto mmoja napenda kuwa na mm mama
>Kila wahuni wakimtia voco ananiambia, sasa m najiuliza si awakubalie aolewe
>Kila nikitaka kumwacha analia mpaka namwonea huruma..
>Na sijawahi hata kushituka kama analiwa na walaji
>cha ajab ni kuwa amekataa kuolewa na mtu mwingine hata niwe na michepuko mingine
NB: wife ana wivu sana
Nijuzeni niendelee nae au nitumie njia gani kumwacha bila maumivu..
N.k
Ha ha ha ha ha... Kama anawapenda ni hatari... Anaweza pata kigugumiziHaiwezi tokea si jamaa atakuwepo ataokoa mmoja akimbie
Ha ha ha ha ha... Kama anawapenda ni hatari... Anaweza pata kigugumizi