Huu hapa ujumbe Muruwa wa Baba Askofu Shoo kwa Rais Samia

Mungu ana akili kuliko Askofu Shoo. Anamjua alivyo mpumbavu!
Naona Samia ameharibu deal zenu za kutesa na kuua Watu. Kwa hiyo yoyote anayehubiri Amani kwenu ni Mpumbavu. Damu ya Binadamu mmekunywa sana nyie Viumbe.
 
Endelea kutukana watu wa Mungu ili upigwe laana
Nyinyi ndiyo mnaosema mungu yupo ila shetani hayupo .....maana kwenu kila ajiinuaye kwa jina la mungu ni mtu wa mungu.
Hii ndiyo tofauti yenu nyinyi na mungu wa kweli
 
Singasinga na Rugema.. wameachiwa hao ndiyo waharifu no 1 tz ,sasa huyo mama sa100 ndiyo haki gani anafuata sisi tunajua huu mchezo anaocheza na mkwere na tutaushinda mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…