Huu hapa ujumbe Muruwa wa Baba Askofu Shoo kwa Rais Samia

Mjinga sana huyu Askofu. Kanisa lake la KKKT limejaa migogoro ya tamaa ya madaraka na uroho wa wizi wa mali ya Kanisa yeye huyu mjinga anayejiita Askofu yupo. Kwanza wenye akili tunajua alivyopata Uskofu Mkuu kwa njia CHAFU zaidi ya wanasiasa wanavyopata madaraka. Na kama yeye au wafuasi wake wana ubavu, waseme tuyaweke hadharani machafu ya huyu Askofu Shoo halafu tuone kama atakuwa na ubavu wa kusimama hata kwenye njia ya kuelekea Kanisani!!!!!!!!
Hivi hii ni chuki binafsi au kitu gani, ni kipi alichoongea ambacho hakieleweki machoni pa WaTz. Nawaogopa sana watu aina hii ambao hawawezi kuchukua muda wa kutafakari kauli nzito kama hiyo kwa taifa letu.
 
Hana legacy ya kukemea kwasababu anaongoza taasisi ya dini yenye kuongoza kwa migogoro Tanzania. Maaskofu wanakaa kwenye vikao hawasalimiani eti watu wa Mungu? Wapi na wapi?
 
Huyu mama ni dikteta tu kama wengine. Kama siyo dikteta kwann anakataza vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara? Kwann hataki katiba irekebishwe ili itoe haki kwa wote?
Mikutano iko kikatiba lakini mnamwaga mitusi sana mpaka Watanzania wote tunaonekana ni jamii isiyostarabika. Rejea kauli ya Mdude Chadema siku Ile pale Tabata Barracuda
 
Mhe. Rais Samia anaendelea kuwaponya watanzania wote kwa kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mtu bila kujali nani ni nani, mfano mzuri ni kesi ya Sabaya amefungwa miaka 30 jela, vivyo hivyo pia Mwenye tuhuma za Ugaidi kwa lengo la kuvuruga Amani ya nchi akikutwa na hatia lazima afungwe.
Huo ndio utawala wa sheria ambao Rais Samia amedhamiria kuhakikisha unatendeka chini ya utawala wake.

Rais Samia antuponya watanzania kwa kuendelea kuwaletea huduma za kijamii watanzania wa vijijini,
mfano; huduma za afya, ujenzi wa zahanati, miradi ya maji, ujenzi wa madarasa, barabara, umeme vijijini n.k, hayo yote yanafanywa na Serikali ya Rais Samia kwa lengo la kuwaponya watanzania wote.
Ahsante sana Baba Askofu kwa kuendelea kumkumbusha Rais wetu mpendwa.
Hongera nyingi kwa Rais wetu mpendwa.
Maneno mafupi yenye maana kubwa sana
 
Mikutano iko kikatiba lakini mnamwaga mitusi sana mpaka Watanzania wote tunaonekana ni jamii isiyostarabika. Rejea kauli ya Mdude Chadema siku Ile pale Tabata Barracuda
Tangu lini "kumnyoa mtu kwa wembe" Ikawa tusi? Msitafute uchochoro wa kutokea. Ndiyo maana alivyoenda Marekani kapokelewa na machangu doa akina mangekimambi. Viongozi wote wamemnyali. Kenyatta kapelekwa mpk ikulu na misaada juu.

Mama dikteta!
 
Mjinga sana huyu Askofu. Kanisa lake la KKKT limejaa migogoro ya tamaa ya madaraka na uroho wa wizi wa mali ya Kanisa yeye huyu mjinga anayejiita Askofu yupo. Kwanza wenye akili tunajua alivyopata Uskofu Mkuu kwa njia CHAFU zaidi ya wanasiasa wanavyopata madaraka. Na kama yeye au wafuasi wake wana ubavu, waseme tuyaweke hadharani machafu ya huyu Askofu Shoo halafu tuone kama atakuwa na ubavu wa kusimama hata kwenye njia ya kuelekea Kanisani!!!!!!!!
Hakuna aliyekuzuia kuyaweka hadharani, unaogopa nini na unamwogopa nani, weka tuyasome. Maadamu tu yawe na uhalisia ziwe ngano
 
Back
Top Bottom