Hutu jamaa sasa sijui kabakisha nini

Hutu jamaa sasa sijui kabakisha nini

unajua mimi pia nilikua najiuliza raw products za bidhaa za azam zinatoka wapi? Maana sijasikia ana mashamba makubwa ya nganno,mahindi,matunda,minazi,ngombe nakadhalika. Na nijuavyo mimi kwa uhakika instability ya local production ya hizo raw materials hauwezi ku sustain production capacity ya azam.

Kuja kufwatilia vizuri zaidi ya asilimia 85 ya malighafi anaagizia nje!!
Je anastahili pongezi kama mwekezaji mzalendo?

Tanzania hakuna COMMERCIAL AGRICULTURE hivyo kutokidhi au kutosheleza mahitaji ya kiwanda.Hichi kilimo cha ki siasa ni blah blah tuu ndiyo maana hatutoki ktk umasikini
 
Back
Top Bottom