Hutu jamaa sasa sijui kabakisha nini

Hutu jamaa sasa sijui kabakisha nini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,602
Reaction score
830,319
1405007061491.jpg
 
Kweli azam kiboko kwa hali hiyo utajiri lazima aupate
 
Kabakisa ile inayokunywa wale akina baba yoyoo ina rangi ya maji ya mende inaingisia sana serekali mapato miingi sana.
 
ila quality ni poor.. kama azam juice sidhubutu kunywa maana inasababisha kiungulia kikali.
 
unajua mimi pia nilikua najiuliza raw products za bidhaa za azam zinatoka wapi? Maana sijasikia ana mashamba makubwa ya nganno,mahindi,matunda,minazi,ngombe nakadhalika. Na nijuavyo mimi kwa uhakika instability ya local production ya hizo raw materials hauwezi ku sustain production capacity ya azam.

Kuja kufwatilia vizuri zaidi ya asilimia 85 ya malighafi anaagizia nje!!
Je anastahili pongezi kama mwekezaji mzalendo?
 
Hizi na zingine zote alizonazo ni mali zetu,serikali hii ilimwaka ngano yake kimajungujungu eti anashabikia siasa za upinzani za CUF na hatimaye akawashitaka kwenye mahakama za kimataifa akawashinda,huku na huku wakamuomba wampe eneo hilo la National Milling kama fidia. Sasa kwa nini isiwe ni mali zetu? Leo hii hao CUF ndio mashoga zao wa damu kule Zanzibar!
 
Back
Top Bottom