mkuu hakuna uhusiano wa kutoa msaada kwenye jamii na uongozi...
Ila wengi wanalia kwa uongozi uliopita yaan wabunge wa nzega now wanaiman na Bashe kuliko unavyofikiri,,! "yaweza aweze"
bashe akishinda kura za maoni huko nzega ajiandae kukatwa dodoma kama lowasa...
Nakubaliana nawe..lakini kama mtu ameonesha mfano mzuri kama kuwasaidia watu kupata mishahara minono,kasaidia vijana mitaji,kasaidia watu ada...basi huo ni mfano tosha kwamba anapenda watu na sio mchoyo kwa kile kidogo anachopata...hasa tukikumbuka kwamba mbunge ni mtumishi wa wananchi na sio kiongozi wa wananchi..ni mwakilishi wao..

Hivi kweli unajua sheria za nchi ??????.
Bashe alikumbwa na tatizo la uraia mwaka 2010 akatakiwa na uhamiaji kuomba uraia kitu ambacho alifanya hivyo.Sheria ipo wazi ukipewa uraia utatakiwa kikaa miaka 10 ndio ushiriki siasa.Therefore Bashe atatakiwa kwa mujibu wa sheria kusubiri hadi mwaka 2020 ndio ajiingize kwenye siasa kama sheria inavyoelekeza.
Ni wazi Bashe ana uraia wa Tanzania kuanzia mwaka 2010 ana fursa za kushiriki katika maendelea ya nchi katika nyanja nyingine.Wazi wa kukata majina wapo Dodoma wanamsubiri akiingiza kichwa wanakata akivuka kigingi cha mwanzo wapinzani wana taarifa zake za kina wanamgoja akinusa wanamfanyizia mapema.
Ila wengi wanalia kwa uongozi uliopita yaan wabunge wa nzega now wanaiman na Bashe kuliko unavyofikiri,,! "yaweza aweze"
usingewaambia wajinga hawa..wanajua kusoma na kuandika lakin hawajui kufikiri an kutafsiri..na hata kukumbuka yaliyopita.Hivi kweli unajua sheria za nchi ??????.
Bashe alikumbwa na tatizo la uraia mwaka 2010 akatakiwa na uhamiaji kuomba uraia kitu ambacho alifanya hivyo.Sheria ipo wazi ukipewa uraia utatakiwa kikaa miaka 10 ndio ushiriki siasa.Therefore Bashe atatakiwa kwa mujibu wa sheria kusubiri hadi mwaka 2020 ndio ajiingize kwenye siasa kama sheria inavyoelekeza.
Ni wazi Bashe ana uraia wa Tanzania kuanzia mwaka 2010 ana fursa za kushiriki katika maendelea ya nchi katika nyanja nyingine.Wazi wa kukata majina wapo Dodoma wanamsubiri akiingiza kichwa wanakata akivuka kigingi cha mwanzo wapinzani wana taarifa zake za kina wanamgoja akinusa wanamfanyizia mapema.
Yaani hakuna mwenye nguvu za Tsunami kama Bashe.... Tarehe moja watu watashuhudia, atashinda kwa zaidi ya asilimia 98....
Wananchi wa Nzega uwaambii chochote au lolote kuhusu Bashe, wanakupiga mawe...
Angekuwa anajikomba leo hii angekuwa na cheo kikubwa sana ndani ya serikali hii. Ila kutokana na msimamo wake hasa kwa Edward alijikuta akifanyiwa mizengwe ya kila namna katika maisha yake ya uongozi na hata familia....
Angekuwa anajikomba wala asingethubutu kutofautiana na mtoto wa namba 1. Ambaye katumia muda wake mwingi kumuwekea mizengwe katika maisha yake ya siasa kuanzia kwenye ubunge mpaka U Nec..
Peleka huko siasa za ujinga na ushabiki wa vijiweni, hapa si mahali pake..huyo aliekusanya wadhamini zaidi ya wale aliotakiwa ameishia wapi? hivi unajua hata unachoandika wewe!Yaani hakuna mwenye nguvu za Tsunami kama Bashe.... Tarehe moja watu watashuhudia, atashinda kwa zaidi ya asilimia 98....
Wananchi wa Nzega uwaambii chochote au lolote kuhusu Bashe, wanakupiga mawe...
Hivi kweli unajua sheria za nchi ??????.
Bashe alikumbwa na tatizo la uraia mwaka 2010 akatakiwa na uhamiaji kuomba uraia kitu ambacho alifanya hivyo.Sheria ipo wazi ukipewa uraia utatakiwa kikaa miaka 10 ndio ushiriki siasa.Therefore Bashe atatakiwa kwa mujibu wa sheria kusubiri hadi mwaka 2020 ndio ajiingize kwenye siasa kama sheria inavyoelekeza.
Ni wazi Bashe ana uraia wa Tanzania kuanzia mwaka 2010 ana fursa za kushiriki katika maendelea ya nchi katika nyanja nyingine.Wazi wa kukata majina wapo Dodoma wanamsubiri akiingiza kichwa wanakata akivuka kigingi cha mwanzo wapinzani wana taarifa zake za kina wanamgoja akinusa wanamfanyizia mapema.
utumishi sio kusaidia watu..katafute ujue kazi za mwakilishi na kiongozi ni zipi, tucpoteze muda hapa kwa jambo dogo km hili.
Peleka huko siasa za ujinga na ushabiki wa vijiweni, hapa si mahali pake..huyo aliekusanya wadhamini zaidi ya wale aliotakiwa ameishia wapi? hivi unajua hata unachoandika wewe!

Ila bashe ni hatari...ujue kuwa na ugomvi na mtoto wa namba 1 sio mchezo kabisa....hii ni kweli hajikombi hata kidogo...wanaojikomba ni wale walioutafuta ukuu wa wilaya kwa kumfunga kamba za viatu riz....
Tuvute subira tarehe 1.8.2015 sio mbali..... Akipata chini ya asilimia 98 naleft JF milele.....