Hussen Bashe, muasi ndani ya CCM(?)

Hamfaham Bashe huyo kijana wallah Hussein ana moyo sana hasa wa kutoa. He is good human being

Kabisa.... Bashe kasaidia watu wengu sana hasa vijana kwa kuwalipia ada. Kawawezesha vijana wengi sana kiuchumi.

Bashe akiwa na elfu kumi, kwa roho yake anakupa elfu 8 huku yeye anabaki na elfu 2 tu..... Hakuna kijana mwanasiasa mwenye roho ya kipekee kama Bashe....

Hakuna mgombea mbunge kijana kwa sasa ambaye Bashe ajamsaidia, ni wachache sana. Sio kwamba ana fedha sana not, ni kwa sababu ya upendo wake na hulka yake ya kuinua vijana..
 
Hongera sana umenipunguzia yote nilio taka kumjibu huyo mpuuzi.
Sinaziada zaidi yakukuambia huyo mtu ni muathirika wa kulelewa na mzazi mmoja tu tena wakike.
Watu wengi walio kosa malezi ya wazazi wawili ndio walivyo hivyo kujisemea maneno ya kikhanisi.
 
Last edited by a moderator:
Hamis Kigwangala anamuogopa sana Bashe..Kigwangala alizawadiwa ubunge kwa kujipendekeza kwa rizwani,,Sasa hivi hakuna wa kumbeba ubunge atausikia redioni tu.. Wana nzega wanamtaka Bashe

Kigwangala anapambana na Selelii kwa sasa na anakalia kuti kavu.
 
Bla bla wote waliokua nyuma ya EL wapigaji, leo kaja mfanyakazi mmoja wa habari maelezo kijiweni kwangu kwa ajili ya nane nane utamuonea hruma kwa hali aliyonayo, namashaka na haya uliyoandika utakua unatetea tumbo lako tu.
 
Last edited by a moderator:
Hamis Kigwangala anamuogopa sana Bashe..Kigwangala alizawadiwa ubunge kwa kujipendekeza kwa rizwani,,Sasa hivi hakuna wa kumbeba ubunge atausikia redioni tu.. Wana nzega wanamtaka Bashe
Hii umekurupuka!Hawa jamaa wanagombea majimbo mawili tofauti
 
Bla bla wote waliokua nyuma ya EL wapigaji, leo kaja mfanyakazi mmoja wa habari maelezo kijiweni kwangu kwa ajili ya nane nane utamuonea hruma kwa hali aliyonayo, namashaka na haya uliyoandika utakua unatetea tumbo lako tu.

Kama aliyekuja ni wa Habari Maelezo basi uko sahihi, na sina comment.... Ila kumbuka Bashe ni CEO wa Habari Cop na sio Habari Maelezo.... Hayo ya Habari Maelezo anayajua Asser Mwambene
 
wewe acha kutukana watu vile tu unatofautiana nao kimsimamo,wala hayo uliyoorodhesha si sababu za kuonyesha ni mtendaji mzuri, bashe hafai kuwa kiongozi!!!!! kiongozi gani, haheshimu mamlaka zilizo juu yake, haheshimu kiongozi aliyechaguliwa na watu(Kigwangalla) hata kama ni wachache, hana ushirikiano badala ya kushirikiana na mbunge aliyechaguliwa yeye akaanza kuhonga watu kufanya miradi kivyake km vile anashindana na mbunge halali aliyepo, anapenda makundi ndani ya chama chake, mzushi, alimzushia membe..mambo mengi yasiyofaa yanayoonyesha tabia yake, huyu hfai kuwa kiongozi..nawashangaa watu wa nzega kumtaja taja hata km amechukua fomu H A F A I! lakin nitawashangaa wazee wa ccm wakirudisha jina lake, sababu zilizomtoa 2010 bado zipo hana sifa kuwa muwakilishi, uongozi sio kutumia pesa kufanyia watu mambo yao, huko ni kujenga uvivu wa kufikiri na utegemezi kwa hao unaodhani unataka kuwaongoza! hapo alipo panamtosha afanye biashara mchango wake utaonekana..
 
Kama haya ni kweli au hata nusu yake ni kweli basi hakika tanzania tuna siasa za kipumbavu sana
Mungu ambariki bashe!
 
Last edited by a moderator:
Kama haya ni kweli au hata nusu yake ni kweli basi hakika tanzania tuna siasa za kipumbavu sana
Mungu ambariki bashe!

Mkuu hayo yote ni kweli asilimia 100... Umenena vyema sana, watu wanapenda sana kufanya siasa uchwara na kuchafua wale wanaoona ni tishio kwao...
 
Hizi siyo sifa za kiongozi, mshauri aombe kazi RED CROSS au UNHCR..atafit vzr kama kweli unamtakia mema atumie vipaji vyake vzr.
 
Siku zote nilikua najua ID hii ni ya yule Mwanahabari 'Tall' aliekua Team Mamvi kama PR wake..muongo sijui li nani..kumbe ni ww mwenyewe unaezungumziwa kwenye Uzi huu..Kila la Heri!

Ata mimi nilijiuliza sana huyu jamaa ni nani..kumbe ni mwenyewe..
ilikuwa ngumu kumjua makonda humu lakini nae tulimjua tu..kweli muda haudanganyi
 
Yeye muda mwingi anashughulika na harakati zake za kifisadi kule Morogoro ambapo makato yetu ya mifuko ya hifadhi anapeleka kuwekeza kule Morogoro anakomiliki mashamba ya mifugo na kilimo.

Hapo juu nimequote maelezo yako amabyo bila ya shaka yanaonyesha wewe ni mhanga wa unayoyaelezea yaani ni mtumishi wa New Habari Corporation.
 
Kama Kigezo ndo hicho cha Kumkataa Bashe tukizunguka kwenye Nyumba za Viongozi wote ukikuta maisha wanayoishi Ma house girl na ma house boy basi nchi hii itabidi ikakodishe viongozi nje ya nchi.
 
Unamjua Mungu wewe? acha kumhusisha Mungu kwenye ujinga, wala Mungu hambariki mzushi, mwenye chuki, asie na adabu,,nk mshaurini bashe wenu atafakari vyema, sababu zilizomtoa 2010 bado zipo hatapitishwa, kilichomtokea aliekuwa anamsapoti kwenye harakati za urais kitamtokea yeye pia..mwambieni U O N G O Z I si kufurahisha watu kwa kuwapa fedha au mtaji, chunga sana, sidhani km watu wa nzega na ccm watakuwa wajinga kumpitisha mtu wa hivi..
 
Kama haya ni kweli au hata nusu yake ni kweli basi hakika tanzania tuna siasa za kipumbavu sana
Mungu ambariki bashe!
Unamjua Mungu wewe? acha kumhusisha Mungu kwenye ujinga, wala Mungu hambariki mzushi, mwenye chuki, asie na adabu,,nk mshaurini bashe wenu atafakari vyema, sababu zilizomtoa 2010 bado zipo hatapitishwa, kilichomtokea aliekuwa anamsapoti kwenye harakati za urais kitamtokea yeye pia..mwambieni U O N G O Z I si kufurahisha watu kwa kuwapa fedha au mtaji, chunga sana, sidhani km watu wa nzega na ccm watakuwa wajinga kumpitisha mtu wa hivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…