Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 407
- 133
Kupitia jahazi la Clouds FM jana na leo asubuhi kupitia power break fast; Nimemsikia Hussein Bashe Bashe akijaribu kuzungumzia maneno aliyoyasema mheshimiwa Lowasa kule jimboni kwake Monduli katika sherehe za mwaka mpya 2014.
Bahati nzuri sana nimemsikia na mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa yeye mwenyewe akizungumza hayo maneno yake yeye mwenyewe.
Ni mwehu tu na mwendawazimu ndiye anayeweza kuaanza kuyatafasili kwa namna ya kuyapotosha kutoka katika UKWELI HALISI WA MOYONI WA MHESHIMIWA LOWASA na kuyaweka katika namna ya kuyapakapaka rangi kwa namna ambayo yeye mpotoshaji anaitaka ili kuwapotosha watu.
Kwa mtu makini (kama mimi hapa) ukisikiliza neno kwa neno, sentensi kwa sentensi pamoja na "TONE" ya mheshimiwa Lowasa, basi utaelewa ni nini alichokuwa anakimaaanisha, na siyo upotoshaji unaofanywa na Bashe.
Bwana Bashe unaweza kuwa upo karibu na pia sana na mheshimiwa Lowasa kuliko mimi, unaweza kuwa unaongea naye mara kwa mara kuliko mimi ambaye hajawahi kusikia sauti yangu tangu nizaliwe, lakini kwa kile alichokisema pale Monduli ni wazi kwamba mheshimiwa Lowasa alikuwa ANA MAAAAANISHA kile alichokuwa anakisema.
Anaposema kwamba, "...tuianze safari yetu ngumu ambayo inapita katika mabonde, milima na miiba." anaongeza kwamba, "...nawashukuru kwa kuja kuniunga mkono katika safari hiiii tunayoianza leo...!!" kwamba ndoto yake Lowasa ya kuona watanzania wanapata elimu bure, wanapata maji safi na salaaama, wanapata huduma bora za afya nk nk. Na tena ndoto yake hiyo inahitaji kusimamiwa (je, inahitaji kusimamiwa na nani???) Ndoto hiii itasimamiwa na mtu ambaye ni kiongozi wa ngazi ya juuu mwenye uthubutu na ujasili wa kufanya mambo pasipo uoga, potelea mbali matokeo ya hicho anachokisimamia.
Maaaaana tukirudi nyuma, kama ni swala la elimu tuliliona mheshimiwa Lowasa alivolisimamia hadi tukawa na shule ya sekondari kila kata, shule ambazo leo hii zimesimama na zinafanya vizuri, na sasa kuianza safari kwa mfano hapo katika elimu kunakujaje wakati safari alikwishaga kuianzisha siku nyingi tu...!!!!!
Ombi langu kwako Bashe, muaaache mheshimiwa Lowasa na maneno yake kama alivoTUAMBIA SISI WATANZANIA, na wala usiyapotoshe, maaaaana kama weye utajifanya msemaji wa Lowasa basi utasababisha kutuchanganya sisi wasikilizaji wa Lowasa, tuachie hayo maneno kama yalivo kwa kuwa hukuyasema weye bali aliyasema yeye na sisi tumeyasikia, na tunaaaamini kuwa TUMEMWELEWA VIZURI SANA mheshimiwa Lowasa kuliko weye unavotaka tumwelewe kwa kutupotosha kinafiki.
Kwako mheshimiwa Lowasa, najua weye ni member mzuri sana wa jukwaaaa hili na nyinginezo katika mitandao ya kijamiiii tena ninaaaamini kwa muda huuu unaisoma hiii post kwa makini sana tena ukienda neno kwa neno sentensi kwa sentensi; Najua kuwa una marafiki wa karibu tena wanaokufahamu vizuri sana kuliko sisi WANANZENGO (wananchi wakata nyasi wa kawaida) Ombi langu kwako ni kuwa, usiwaruhusu saaaaaaana wawe WASEMAJI WAKO, maaaana mara nyingi wanakuja na upotoshaji ambao weye binafsi hukuuukusudia kuuusema kama wanavousema wao. Nikuombe uwakemeeeee pale unapooona wanajaribu kupotosha kile ulichokusudia kukisema (WANAHARIBU "MEANING" YA KILE ULICHOKUWA UNAKIWASILISHA KWA WASIKILIZAJI WAKO)
Narudi kwako mdogo wangu Nape Moses Nnauye, maaaana pia naelewa nawe kama kijana mtanzania, ni mmoja ya watu ambao wana akaunti humu JF. Tafadhari naomba unielimishe tu kidogo mahala popote katika katiba ya CCM au ya Tanzania (yaaaani hiii katiba chakavu) au taratibu zozote rasmi (documents rasmi) za CCM ambapo panaonesha kwamba mtu akielezea nia yake ya kutaka kuwa kiongozi wa watanzania basi ANAPOTEZA SIFA ZA KUWA MGOMBEA URAIS.....!!!!!??? Maaaaana mheshimiwa Lowasa alipokuwa anaongea kule Monduli hakuwa anaongea na wana-CCM, bali alikuwa anaongea na wananzengo wa jimbo lake na watanzania wote kwa ujumla wetu pasipokujali itikadi zetu za kidini au kisiasa. Sasa weye unapoamka na kuanza kusema mtu anapotangaza nia yake anakuwa kapoteza sifa za kuwa mgombea una maaaaanisha nini!!!!! Hivi kama mtu ana kitu moyoni kinamkeleketa kukisema unataka asubiri nini kusema???????? Waswahili husema hiviiii, "STAREHE YA KOHOZI NI KULITEMA" Tafadhari bwana uwe na aibu japo kidogo tu kwa wazeeee wako....!!!
Napenda kuwasilisha.
Nakala kwa:
1. Lowassa Ngoyai Edward
2. Hussein Bashe
3. Nape Moses Nnauye