Hahahaaaa nawewe umejikunja hadi kiuno lol una masifa
Samahani Husny ni imagination zangu tu lolnitakunywesha maji ya betri wewe.. Ooh hooo!
wenye vijiba na roho mbaya sio kwenu tu....hata kwetu wapo.
aunty, mapenzi yalimuelemea judge akashindwa kuvumilia hadi urudi. Nimeshampa utaratibu mzima wa kunichumbia. Lol.
Afu wewe
Rejao unamnyima chakula?
Mbona anazidi kukonda tu kiuno??
Hii Proposal itafutwa kwa kuwa Husny bado hajaachana na Uporoto na hakuna taraka toka kwa Uporoto so lazma jamaa aje kuipinga ndoa hii....Hakikisha proposal inafutwa
Ashadii unajua Uporoto hajampa Husny talaka?Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....
Hahahahaaa Mama Kipua.....Hujambo? Habari za siku nyingiiiiiiHehehe!vitambi havikubali kwangu!cha msingi ni ile pua kunenepa tu na kuendelea kunipa raha!papa rejao mme wangu anakupa hi nyingi bado anatafuna kitumbua chake kwa raha zake lol!odm hajambo?
hahahaha! Ahsante sisty, mwenzio nimenusurika kuwa mjane. Lol
Hii Proposal itafutwa kwa kuwa Husny bado hajaachana na Uporoto na hakuna taraka toka kwa Uporoto so lazma jamaa aje kuipinga ndoa hii....
we usijali mwambie na Ashadii hakieleweki kitu hapa
Hivi hujui mumewe wa zamani(UPOROTO) hajatoa tamko rasmi la kuachana na Husny so angalia asijeleta Pingamizi wakati wa ndoa yenu....we fanya maandalizi tu then ile kwako...huu bado mke wa mtu ujue...shauri yako
Hehehe!vitambi havikubali kwangu!cha msingi ni ile pua kunenepa tu na kuendelea kunipa raha!papa rejao mme wangu anakupa hi nyingi bado anatafuna kitumbua chake kwa raha zake lol!odm hajambo?
Hapana Konny....nataka haki itendeke ili baadae pasiwepo malalamiko....nataka na Uporoto aridhie kabisa ili km tunazigonga ndovu tuwe huruKweli Ricky una bifu na Husyn
alikunyima nini jamani?
Unabana sana.
Hahahahaaa Mama Kipua.....Hujambo? Habari za siku nyingiiiiii
Bora waje wajionee wenyewe na km wanakubali wakubali kwa mioyo yao yotetayari nimewasiliana na UPOROTO pa1 nd ndugu wengne wa kikeni.
Couple yao ni ya kihuni hvyo haitambuliki.
Mimi hapana swahiba, labda Husninyo...Yaani wewe na husninyo mmekuwa daladala? Au mpira wa kona?
Amy hajambo kabisa anamalizia usafi then atajumuika nasi muda si mrefu....Hehehe!cjambo sn swaiba,ile pua ndio ugonjwa wangu atiii!vp Amy hajambo jaman!mie rejao wangu yuko poa kbs!
Walah hapa ntalazimika kureport abuse, khaaa kongosho wewe mwenyewe wajua mie ni mtulivu, sitangi tangi hovyo!Yaani hawa wamekuwa zege hailali
hawawezi pitisha hata usiku mmoja
ODM yuko bize anakagua wajukuu wapya
anarudi weekend hii
niko kwa mme mkubwa, ananibembeleza hadi raha.
Yaani wewe na husninyo mmekuwa daladala? Au mpira wa kona
Hahahaaa SL huna maana....Mimi hapana swahiba, labda Husninyo...