Hahaha, biharusi ndio kwanza anawekewa kope za bandia, lol...
Bora wewe Mmoja mimi maadui zangu ni:Kabisa halafu ninahasira na huyu krolokwin
Nitty inabidi tufanye mkakati unaoitwa 'Linda usalama wa Amy na SweetLady' hata ikibidi kuwaajiri Klorokwini na Uporoto itakuwa sawa tu
Wakati mi naandaa mkakati wa kukulinda na wewe then unaanzisha vijembe tena lolBora umfundishe manake anatia huruma sana...
braza puuuuu!hilo anguko la aibu!..hujui huyu ndo mtei mwenye yale mabasi yakwenda moshi arusha mpaka karatu...lol...amyner hataki shida asee!
Ujue sio powa kuchukuliana wake basi kama mchezo wenyewe ndio huu ole wake mtu amguse Sweetylady
Dah hapo kweli nilichemsha hasa kwa Uporoto..yaani wewe ndo gozo oops yaani wee ndo bozo kabisa.
Unaajiri janjaweed?
hajajua huyo
Hahaha! Sasa utakujaje ukumbini na kalio moja?... Pole we!arifu hajarudisha kalio langu moja la bandia.
Lile la kulia nalo kalichanachan kweli
Bora wewe Mmoja mimi maadui zangu ni:
1.Mtei One
2.Bagah
3.Katavi
Hata kwangu hamgusi ng'ooooo bakini na ndoto zenu....kaka Nitty himaya yako siingii...labda ukiyumba...mwambie pacha wetu Ricky awe makini tu!
Hivi kumwambia husband akusaidie ndio imekuwa vijembe tena? Khaaa..Wakati mi naandaa mkakati wa kukulinda na wewe then unaanzisha vijembe tena lol
Mwanamke wewe ushaanza maneno yako tena eeeh
nasikia umeachia mengine sita mapyaaa!..
'Nothing gonna change my love to Amy'Relax honey, hapa hata waje na greda hachukuliwi mtu...mie pia niliapa mbele ya umati...
'Nothing gonna change my love for you'
Ok sawa ila hata yeye namsaidia pia maana jamaa wanawataka wewe na Amy....wana mauchu duhHivi kumwambia husband akusaidie ndio imekuwa vijembe tena? Khaaa..
Yanaenda kampala na nairobi, chezeiya mtei wewe!nasikia umeachia mengine sita mapyaaa!..
kausha sasa
Good shem.'Nothing gonna change my love to Amy'
Hawataweza amini hivyo!Ok sawa ila hata yeye namsaidia pia maana jamaa wanawataka wewe na Amy....wana mauchu duh
Hahahaaaa ujidai.....kwanza nasikia mtei Original ni mtoto wa shangazi yake mke wa binamu yako kwa mke wa mdogo wako kwa mama mdogo wako kwa babu yako mdogo upande wa bibi mzaa babu kwa nyumba ndogo yake ya kwanza....kausha sasa