Husninyo Pokea Proposal

Acheni kumchafua Husninyo bana......
Nasikitishwa sana na kauli za kumchafua Husninyo nazozisoma hapa,napenda kuwajulisha kuwa tumeachana kwa amani na Husninyo sio mapepe wala hana sifa mbaya zote mnazoziorodhesha hapa na muda wote niliyokuwa nae alikuwa na mapenzi ya dhati kwangu.Nawatakia kila la heri na judgement wake,judgement hana kosa kaona nafasi na kuchukua uamuzi wa haraka kama mwanaume rlijali na inawezekana mnaotoa maneno machafu mnachelea kupigwa bao jaribuni sehemu ingine mbona wako wengi tu humu ndani kuweni wabunifu tu.
 
Sina pingamizi tena kuhusu ndoa ya Husny na JG. Nawatakia kila la kheri ktk ndoda yao. Mi nltaka UP atuhakikishie kuwa wameachana na Husny.
Havee my Blessings Husninyo na Judgement
 
Hahaaaaa hata mimi sasa sina kipingamizi kabisaaaaaaa
nawapa baraka zoooteee
 
Mimi nilikua nakupenda jamani.... Dah! Ngoja nijifunze kumpenda Judgement hivo hivo..... lol.... Nitakumiss Kweli kweli. Sidhani kama Judgement atafikia uadilifu wako na heshima kwa familia.....
Vipi hii ?? Ashadii = Husinyo ? niliuziwa mbuzi kwenye gunia ???
 
Mimi nilikua nakupenda jamani.... Dah! Ngoja nijifunze kumpenda Judgement hivo hivo..... lol.... Nitakumiss Kweli kweli. Sidhani kama Judgement atafikia uadilifu wako na heshima kwa familia.....

Judgement si anamwoa Husny?
 
Mimi nilikua nakupenda jamani.... Dah! Ngoja nijifunze kumpenda Judgement hivo hivo..... lol.... Nitakumiss Kweli kweli. Sidhani kama Judgement atafikia uadilifu wako na heshima kwa familia.....

Husninyo? Ashadii? Keleuwii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…