Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
shem unajua kabisa mm na Amy tunamipango mikakati...baada ya kakaangu Ricky zoezi kumshinda...sasa gafla kitu Mtei moja kimechipuka kama uyoga...!
My Amy hebu temana naye huyo. Kachanganyikiwa
Amy mwambie aisee
Mtei mwenzio "Am already taken!" hapa akili yote imehama from dar to Arachuga!
Btw, zile series ntakupa si nlishasahau yaani.. Nawe hunikumbushi!
Ricky darlin..
Mtei mwenzio "Am already taken!" hapa akili yote imehama from dar to Arachuga!
Btw, zile series ntakupa si nlishasahau yaani.. Nawe hunikumbushi!
nilifikiri umenisemesha!...vip lakini uko pouwa...hainaga moriii,?kaka si bado yuko arusha?naomba tuwe wote kwenye party ya husny!
Shem langu mi mzima.. Kaka ako kanikataza kabisa kasema mazoea na wewe yaishe! Sijui umemwambia nini au kuna kitu mnanificha?
Halafu Mtei anapenda kila msichana...ni kicheche hafai ila uzuri kila mtu anamtosa...Mtei mwenzio "Am already taken!" hapa akili yote imehama from dar to Arachuga!
Btw, zile series ntakupa si nlishasahau yaani.. Nawe hunikumbushi!
Yes mylove....
Nilikumiss sana....
Twende tukale kwanza...
Amyner,
naomba ujibu hayo mambo anayosema Mtei moja!
kaka ndo mana nakwambia zoezi linakushinda...ebu ona ndo unataka umpeleke mdada wa watu kula sa hii...si wajanja watakua wamesha mpa masoseji kibao...saa kumi?
Shem langu mi mzima.. Kaka ako kanikataza kabisa kasema mazoea na wewe yaishe! Sijui umemwambia nini au kuna kitu mnanificha?
Sijatishika !
Sitishiki !
Sitotishika !
Na vijineno vya type hii , type ya Buguruni malapa. Ndo- kwanza unampandisha chati mtoto Husniy !
Mtoto mambo yote super !
Mtoto makila-kitu! Pole weee!
Utaunga coperwire malapa kwa kuzungusha majungu !
Mie na Husny haooo Mafya na Zanzibar one wik tour , kula mwezi wa asali .
Huu uzi una matairi?
Unakimbia sana bana.
Mshanitingisha, kuna watu hapa wamepiga desh mchana.
nina bendi ya taarabu
natafuta wa kutunga mashairi
Ndo maana Amy nakupenda sana bby....Shem langu mi mzima.. Kaka ako kanikataza kabisa kasema mazoea na wewe yaishe! Sijui umemwambia nini au kuna kitu mnanificha?
Halafu Mtei anapenda kila msichana...ni kicheche hafai ila uzuri kila mtu anamtosa...
Lol hana bahati
hamna kitu bana...kaka mwenyewe hajisomi...
Mi tayari nshakula lunch na Amyner ktambo 2. Huyo ndo anakurupuka mda huu kwenda kumnunulia mtoto wa watu mihogo.