Husninyo Pokea Proposal

Yan kashapalia utafikiri ndio afisa habari wa ndoa yenu lol!amuache shem wangu asali kwa aman lol!akiendelea nitamkia na mavuvuzela tumsute lol!
Hapa hata msute mnajisumbua....hata sishtuki....
Kwanza Jg kanipa niwe MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI.....ntawalisha mihogo mkome
 
Hahahaha! Jamani kodo kodo lol. Wifi ushausikia huo wimbo?


Tunamdediketia mtei one kwa siku ya leo.

Hata wewe Sweetlady? Mshrka wangu wa karbu ktka kumpata Amyner. Leo unanipikia majungu?
 
Hapa hata msute mnajisumbua....hata sishtuki....
Kwanza Jg kanipa niwe MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI.....ntawalisha mihogo mkome

Umeunga mkono proposal ya JG kwa Husny? Uporoto atakutoboa macho
 
Judgement na husny hongereni saaana! Katika mipango ya harusi msinisahau kwenye kamati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…