Husninyo Pokea Proposal

Oooh ! Mpenzi waache wachakachue , mi nafikiri tutoke tupumzike , tukitafakari kuzinduana ! Ungependa tuzinduane lini ? Uwanja wako Mammiy , hapahitajiki Pm hapa , mambo hadhara wasikie vizuri , hasa wale wakodoamijichijo.

changa
 
Duh Nitonye.....
Mh mapenzi yao yanasuasua sana...nahisi yashakufa ila hajasema tu

Wewe nawe utakuja kusutwa,ndoa za watu zinakuhusu nn wakati mpaka mda hujui mkeo yuko wapi?mtafute Amy bwana jpili hii umpeleke japo bichi!
 
Thx my darling wifi nafurahi kwan umegundua namna nilivo mapnzn na ndugu wa mme wangu!shem wangu akija mpe hai,ce tunasogeza mda tutaenda ibada ya ucku lol!
Thanx too lovely wifi.... Mpe salam kaka Rejao..
 
Wewe nawe utakuja kusutwa,ndoa za watu zinakuhusu nn wakati mpaka mda hujui mkeo yuko wapi?mtafute Amy bwana jpili hii umpeleke japo bichi!

mwambie huyo my sist naona hawana mitaji zaidi ya majungu.
 
Wewe nawe utakuja kusutwa,ndoa za watu zinakuhusu nn wakati mpaka mda hujui mkeo yuko wapi?mtafute Amy bwana jpili hii umpeleke japo bichi!
Bora wifi angu unisaidie kumwambia manake kazidi, anapenda kweli kumsimanga husband, atasababisha mwenzie ajing'ate wakati yupo ibadani khaaa, atasutwa kweli jamani...
 
Wewe nawe utakuja kusutwa,ndoa za watu zinakuhusu nn wakati mpaka mda hujui mkeo yuko wapi?mtafute Amy bwana jpili hii umpeleke japo bichi!

Amy nipo naye somewhere. Erick atajbeba mwaka huu. Mi naendleza ndondo kama kawa kama dawa.
 
mwambie huyo my sist naona hawana mitaji zaidi ya majungu.

Naona ana weweseka tu hapa na mambo ya watu,wakati mkewe not richabo hahaha!mwache aendelee nitampa vidonge vyake mpaka akome ebo!
 
Duh, bado huu uzi upo alive..
Canta my wife, its time ya kurest!
Mwachie wifi yako Sweetlady huu uzi aendelee nao!
 
...hodi!
Jg your highness!
project unayotaka kuifanya kidogo inataka kufanana na yakwangu kwa Amy...so ntadesa kidogo...pokea kura yangu ya ndio your majesty!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…