Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Swit...njoo tuendelee kupeana mapenzi moto moto...
waache hao wabaki wakipiga kelele
Duh mpende adui yako....Mbona kwenye Uzi huu ushabwabwaja mengi ya Kiadui ?
Mara umwambie my elected/Wife to be kua Judgemen mlevi , wakati mie na Ulabu ni kama CCM na CHADEMA .
But mie nakupenda sana ! Tena sana , semea tu nimekuengua kwenye kamati ya Harusi .
Hapo kabla nilipenda sana uwepo , hata hivyo kadi ya mualiko siku ya mnuso utapata.
Ila Mtei hapati card .
Hehehe, karibuni sana kaka yani tunawasubiri kwa hamu kweli... Kama ni mke kaka umepata manake ana upendo sana, si kwako tu hata kwa sisi wifi zake lol... Tunampenda sana.cata hawezi nizuia kabisa....ndio maana namuona muda wote yupo nanyi wifi zake!
Tunamalizia hani mun then tunaenda kwa Rafaeli!!
Mwaaaaaaa!twende zetu upstea ukanikune nna kipele kinanisha swty!
Aah, bora umemjibia wifi manake daaah, toka aoe haji tena home, simu hapigi , wazee wanajiuliza kulikoni?
Hope mmemalza h'moon salama salimini... Wifi karibuni nyumbani kesho mda wa lunch...
Mi penda wewe sana wifi.
DahHehehe, karibuni sana kaka yani tunawasubiri kwa hamu kweli... Kama ni mke kaka umepata manake ana upendo sana, si kwako tu hata kwa sisi wifi zake lol... Tunampenda sana.
Sherehe haiwezi kufana bila uwepo wangu...@ Erick & Mtei one nipeni japo kwa ufupi shughuli imefikia wapi, nachoka kusoma!
Sherehe siyo yenu mmeishonea suti na kukimbiza sredi namna hii. Yatawasìnda.
Mwaaaaaaa to You switie wifi,...nawasubiri kwa hamu sana...Thx my lovely wii,nitakua namkumbusha japo kupiga cm,ilikua tumalize mwisho wa mwezi but kaka ako kaongeza miezi 2,tumenogewaje!tukirudi tu kituo cha kwanza kwako wifi yangu,vp nitonye shem wangu hajambo?
Swahiba bora umekuja, mie pia sijui pa kuanzia, lol.Mbona proposal limechakachuliwa hivi!! Naomba summary.
Waambie hao shem maana wamezidi majungu..Uporoto mzigo ulimshinda kuuhudumia , vizuri/vitamu/starehe , mwenzake gharama.
Duh Nitonye.....vp nitonye shem wangu hajambo?
Mbona proposal limechakachuliwa hivi!! Naomba summary.
Halafu Canta Makusudi hayo...
Acha masifa...ngoja Amy aje ndo muendelee
Waambie hao shem maana wamezidi majungu..
95% ya watu sampuli yako hua wanafiaga vyooni.
Swahiba bora umekuja, mie pia sijui pa kuanzia, lol.