Canta umesahau cover ya cmu yako
room kwangu. Mi natoka sa hv
naelekea site, ntaiacha pale dukani
kwa Mangi unapochukuaga funguo.
Afadhali umwambie coz naona kahamishia majungu kwenye familia zetu...
Anatanga tanga tu hana uelekeo
Nimeona unaleta kiwingu kwa wifeumeshtukiwa mzeiya.
Umekuja na wazo zuri sana, tena mlezi wa chama utakuwa wewe!
Watu kwa kujitafutia matatizo...!! Ngoja nisepe sitaki kuwa shahidi....tehe tehe!!
Swit...njoo tuendelee kupeana mapenzi moto moto...Tena ushindwe namkulegea maeneo yako ya kati lol!niko kwj fundi papa rejao mutu ya pesa mingi na mapnz ya milele nimetoshelezwa sihitaji smal houc!nataman asome andiko lako hapo akutie displin ebo!
Nimeona unaleta kiwingu kwa wife
Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.
kwa hyo nikuachie? haiwezekani hata kidogo
Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.
Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.
Nipo mezani tayari ma dia,,,,nasubiria kitumbua changu!!
Naona erick ananitamania sana!
Mimi nipange tu kwenye hiyo kamati, nimejitoa kwenye kundi la hao wahuni!
Canta umesahau cover ya cmu yako room kwangu. Mi natoka sa hv naelekea site, ntaiacha pale dukani kwa Mangi unapochukuaga funguo.
Ndo amenifuata kanionea huruma kwa manyanyaso yenuorait darling,tafuna baba tafuna ushibe lol!mpe pole eric mwambie arudi akajilie kwa Amy wake lol!
Swit...njoo tuendelee kupeana mapenzi moto moto...
waache hao wabaki wakipiga kelele
Canta unamsikia Mtei anatupa kashfa?
Ngoja nitaongea na wife akikubali ntakuwa mlezi wenu ila ntajenga uadui mkubwa sana na JG....hatanielewa
Aah, bora umemjibia wifi manake daaah, toka aoe haji tena home, simu hapigi , wazee wanajiuliza kulikoni?Jaman my wii wala cjamkataza kuwasalimia,sema tu ubize na hane muni,salama my swty wii?
Lol
Ushatugeuka aisee