Husninyo Pokea Proposal

Hahahahaaha, umeamua kuanza beef na Uporoto? lol
Umeona eeeeh
Mi nasema Uporoto akija na jeshi lake hapa patakuwa hapatoshi na mimi lazma nimsaidie tu kwa namna yoyote
 
Halafu yule anatembea na AK 47 kama ya Malima....Namuonea huruma sana Judgement!
Kuna Kloro pia...naye naona bado hajapata hizi taarifa!!

Tujiandae kwa maafa hawa jamaa wakitokea.
 
Tehe tehe....hapa majungu lazima nilidhani nitakuwa wa kwanza kupiga ndondo kumbe mwenzangu umeanza muda mrefu. Sikubali lazima nikuharibie!

Mambo gan sasa hayo unataka kunifanyia? Kama vp tafuta mwngne aisee. Ndondo 1 tu itamtosha mtoto Husny
 
Unajua nini kaka, ngoja nikunong'oneze ila usimwambie mtu. Namzimia sana Husninyo ila sasa nashangaa wenzangu wanamchukua kiulaiini, sasa iliyobaki ni kupiga majungu tu...tehe!

Ndondo au usajil wa kudumu?
 
Unajua nini kaka, ngoja nikunong'oneze ila usimwambie mtu. Namzimia sana Husninyo ila sasa nashangaa wenzangu wanamchukua kiulaiini, sasa iliyobaki ni kupiga majungu tu...tehe!
Hahahahahaaaaaaaa
Katavi hapa sitii neno
teh teh aiseee kumbe mpo wengi....
Lol teh
Itabidi muanzishe Chama Cha Wanaompenda Husninyo (CCWH)
na Mwenekiti uwe wewe, Msaidizi Mtei
 
Katavi, usiwe na wasi..Erick nimempa kazi ya kunilindia Canta...
Akiharibu tu ndio atamfahamu rejao vizuri...

Alaa kumbe....!! Ila usimlaumu kihivyo ana historia mbaya ya kutembea na shemeji zake..
 
Kumbe una wivu??...naona kazi ya ubodigad inaanza kukushinda!!
Aah unajua mtoto huwa namchosha sana so pakikucha inabidi aendelee kuumzika walau hadi saa saba ndo aje....
Halafu nataka ili kuwaweka salama wawe wanakuwa wote na Canta wakati wote hope watakuwa salama
 
Hahahahahaaaaaaaa
Katavi hapa sitii neno
teh teh aiseee kumbe mpo wengi....
Lol teh
Itabidi muanzishe Chama Cha Wanaompenda Husninyo (CCWH)
na Mwenekiti uwe wewe, Msaidizi Mtei

Mimi napga ndondo tu jamani so ctaki kuwa kwenye hcho chama.
Mimi nampenda Amyner tu.
 
Alaa kumbe....!! Ila usimlaumu kihivyo ana historia mbaya ya kutembea na shemeji zake..
Dah! kumbe?? bora umenipa hizi taarifa mapema!
Inabidi nimwachishe kibarua leo leo..
 
Alaa kumbe....!! Ila usimlaumu kihivyo ana historia mbaya ya kutembea na shemeji zake..
Duh
Tatizo lako unaniharibia..halafu shemeji yako akija akakuta hizi kashfa then akafananisha na matukio atajua kweli huwa nawasaidia mashemeji yale mambo yetu....
Ila Canta yupo..muulize kama tushawahi onja nae tunda upate ukweli.Acha kutuchonganisha na Rejao aisee
 
leo hakuna njao hatutaona hapa.
Tunahitaji mmoja kwa ajili ya mwali
SI kachukua maternity livu ya miezi 9
 
Nipo mezani tayari ma dia,,,,nasubiria kitumbua changu!!
Naona erick ananitamania sana!

Canta umesahau cover ya cmu yako room kwangu. Mi natoka sa hv naelekea site, ntaiacha pale dukani kwa Mangi unapochukuaga funguo.
 
Mimi napga ndondo tu jamani so ctaki kuwa kwenye hcho chama.
Mimi nampenda Amyner tu.
Hujipendi eeeh
Hujui nina jeshi imara sana?Tutakusambaratisha aisee ooooh we endelea na mpango wako uone
 
Saint Ivunga anaondoka kwa miezi 9..
Nani anachukua nafasi yake??

Ngoja nianze kufanya mazoezi ya namna ya kujiweka, sijui Saint Ivuga alitumia mbinu gani!
 
Nipo kaka Rejao, nimejaa tele. Naona siku hizi wife kakukataza kusalimia hata dada zako...


Kwema kaka?

Jaman my wii wala cjamkataza kuwasalimia,sema tu ubize na hane muni,salama my swty wii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…