Husninyo akiwa na............

kumbe husn.. ndo wa hivyo duu kaenda hewa huyo..
 
Uwiiii
mie bado mdogo, naogopa hii picha.
 
Kuna mahali nilisoma eti.. "binadamu wote.. urefu wa kutoka kiunoni kuja juu twalingana.." na ninavyoitizama hii picha.. jamaa akichukua stuli ku level kiuno na huyo dada..watalingana exactly urefu wa juu...
Nafkiri ni kweli..
 
S'ssalalleee !
K u d a ' a d a d e k mapenzi hayana macho !
Ukimsusa eti Kisheta !
Sijui Nyadundo !
Oooh Mwala !
Wenzio wala .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…