Husband and Wife

Husband and Wife

Ndoa ni ya mke na mume, wazazi wa pande zote nao wana matatizo yao na wanayamaliza kimya kimya sasa wewe jibebeshe yako uwapelekee utaishia kupata majibu negative tuu na ambayo hayana maslahi na ndoa yenu. Kwa wanandoa kila mmoja anapaswa awe mtetezi wa mpenzi wake kwa wazazi wako. kiasili mzazi huwa anampenda na kumsikiliza zaidi mtoto wake kuliko mtoto wa mtu mwengine hivyo ukiongea mazuri ya mpenzio kwa wazazi wako unaongeza maisha ya ndoa yenu na baraka zaidi. hakuna perfect ndoa duniani hata wasuluhishi nao huwa wanatamani wapate mtu wa kusuluhisha yao.
Ni sahihi kwa wanandoa kila mnaloongea kufikisha ukweni? yaani namaanisha mwanamke afikishe kwao na mume afikishe kwao, haijalisha hayo mtakayoyaongea mazuri, mabaya, yanawahusu hayawahusu, naomba maoni yenu athari ya hii kitu mbeleni na kama vema kufikisha ukweni pia nijuzeni rafiki zangu
 
Mimi nimeolewa na huwa sipeleki kwetu, sasa naona kama kuna uhalali wa kupeleka kutokana na situation ninayoipitia nilitaka kufaham na kutoka kwenu, ni vema kupeleka? ata kwa upande wangu sijazoea na sipendi kupeleka nifahamishe zaidi

Familia ni baba, mama, watoto! Mambo ya ndoa yako yanakuhusu wewe na mumeo na mnapaswa kuyamaliza wenyewe!!

Ulishawahi kujiuliza hao wazazi wako wenyewe wanampelekea nani mambo yao?

Hamna kitu nachukia kama kuyapeleka ukweni mambo ya familia aisee!!
 
Ndoa ni ya mke na mume, wazazi wa pande zote nao wana matatizo yao na wanayamaliza kimya kimya sasa wewe jibebeshe yako uwapelekee utaishia kupata majibu negative tuu na ambayo hayana maslahi na ndoa yenu. Kwa wanandoa kila mmoja anapaswa awe mtetezi wa mpenzi wake kwa wazazi wako. kiasili mzazi huwa anampenda na kumsikiliza zaidi mtoto wake kuliko mtoto wa mtu mwengine hivyo ukiongea mazuri ya mpenzio kwa wazazi wako unaongeza maisha ya ndoa yenu na baraka zaidi. hakuna perfect ndoa duniani hata wasuluhishi nao huwa wanatamani wapate mtu wa kusuluhisha yao.

Asante Mwathu, ushauri mzuri sana yaani mungu akubariki
 
Familia ni baba, mama, watoto! Mambo ya ndoa yako yanakuhusu wewe na mumeo na mnapaswa kuyamaliza wenyewe!!

Ulishawahi kujiuliza hao wazazi wako wenyewe wanampelekea nani mambo yao?

Hamna kitu nachukia kama kuyapeleka ukweni mambo ya familia aisee!!

Asante rafiki, nimekupata vema kabisa
 
Umenikumbusha mwanaume mmoja mbea saaanaa na anaoa soon
ila kila siku kwa mama mkwe wake kushtaki
wakizinguana kidogo kwa mama mkwe, yani kishamfanya mama mkwe wake kama polisi vile
 
Mmmh umenifurajisha, kuna wanaume hawajiamini na ndo hao wanashindwa kucontrol ndoa zao hata akioa huyo bint anakuwa ndiye mwenye say kweny nyumba!
 
Huyo mwanaume nadhani hata siku akinyimwa papuchi lazma mama mkwe aambiwe
 
Back
Top Bottom