Husband anahitajika wana JF..

Hiv kwa nn wadada weng humu wanaotafuta wenza ni kuanzia age of 30 plus? ina maana wakifikisha huo umr ni vigumu kumpata atakaye muoa? Au tatzo n nn
 
Wanaume wenye umri huo unaoutaka tayar wameshaoa na wana watoto. .labda ukubali kuwa mke wa pili
 
hi
wanajamii forum
wapo wanaodai mie nihuyo mdada liyewaita mabaazazi baadhi ya wanapm,ukweli mie sie ,ila bahati mbaya siwezi kuprove.Ila nafahamu wapo watakao kuwa serious wataniamini.
tafadhari kwa wa pm naambiwa mpaka niwe na post 5m kuweza kureply so plz mnivumilie nipost hizo 5, au mniemail wakati nafanya utaratibu wa kupost
Asanteni
 
Hivi humu kutakuwa na husband materials kweli? Bora uende kanisani na kuhudhulia hafla mbali mbali u might meet mr right! Huku kuna VIPOZA ROHO na MAPAKASHUME tu! ( samahan waungwana sijawatusi nampa reality)
 
Yule dada wa Pm zake zimejaa kaharibia Wengi... Ila km ndo umerudi kwa ID nyingine poleeee
 
huyu anawachora tu. ukute ni mwanaume mwenzetu kaja na id za kike.
 
Yule dada wa Pm zake zimejaa kaharibia Wengi... Ila km ndo umerudi kwa ID nyingine poleeee

Kwiiiii kwiiii naona na ile thread ime-muvuzishwa imepelekwa chit chat ila bado waungwana nawamkomalia hata kama iko chit chat niliiacha ina comments lundo.
 
very nice...
 
Dada kama upo serious nitafute. Kuna mkaka mmoja anatafuta mke na yy. Ni ana kipato cha kawaida je utamkubali?
 
ni-PM tafadhari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…