...dah, hii inasikitisha sana.
Vipi Wajomba zake, shangazi, mama wadoko kwa wakubwa, baba wadogo/wakubwa?
hana kaka wala dada?...msaada wa maana hapo ni kumuendeleza kielimu. Angalau ajue hata ku type kwa computer (secretarial courses)
Mw'mungu amuepushie wataotaka kumfanya house girl!

Pole sana ndio mtihani huo, ni PM details zifuatazo:
Ukileta hizo taarifa mapema nitamsaidia zaidi ya upeo wa macho yako.
- Form Four amepata division gani?
- Form Four amemaliza shule gani?
- Mtaa, wilaya na Mkoa alipo?
- Kwasasa anaishi na nani!
- Wewe unahusiano gani nae?
- Kabla ya kukuomba msaada amewai kuomba wapi zaidi?
- Ana umri gani?
- Kabila lake?
- Mawasiliano ya Ndugu wa karibu upande wa Baba na Mama yake
- Anaishi na nani kwasasa, jina na mawasiliano yake.
mKUU,Pole sana ndio mtihani huo, ni PM details zifuatazo:
Ukileta hizo taarifa mapema nitamsaidia zaidi ya upeo wa macho yako.
- Form Four amepata division gani?
- Form Four amemaliza shule gani?
- Mtaa, wilaya na Mkoa alipo?
- Kwasasa anaishi na nani!
- Wewe unahusiano gani nae?
- Kabla ya kukuomba msaada amewai kuomba wapi zaidi?
- Ana umri gani?
- Kabila lake?
- Mawasiliano ya Ndugu wa karibu upande wa Baba na Mama yake
- Anaishi na nani kwasasa, jina na mawasiliano yake.
Mkuu Mungu akubariki na akuzidishie katika kila jambo na katika kila utakuwa unalolifanyaPole sana ndio mtihani huo, ni PM details zifuatazo:
Ukileta hizo taarifa mapema nitamsaidia zaidi ya upeo wa macho yako.
- Form Four amepata division gani?
- Form Four amemaliza shule gani?
- Mtaa, wilaya na Mkoa alipo?
- Kwasasa anaishi na nani!
- Wewe unahusiano gani nae?
- Kabla ya kukuomba msaada amewai kuomba wapi zaidi?
- Ana umri gani?
- Kabila lake?
- Mawasiliano ya Ndugu wa karibu upande wa Baba na Mama yake
- Anaishi na nani kwasasa, jina na mawasiliano yake.
hongereni kwa kuivuka pasaka tukiwa na uhai. (TUMSHUKURU ADENAI). Ni tumaini langu kuwa hapa jf ni kama chungu kilichobeba kila aina ya watu, wakubwa, watoto, wafanyakazi, wanafunzi n.k. Tatizo ni kwamba hapa mtaani kwetu kuna binti kanitia huruma na sina uwezo wa kumsaidia bnafsi ndo maana nimeamua kuleta hapa suala lake mnisaidie tatizo lake. Huyu binti alifiwa na mama yake akiwa na miaka 6. baada ya .hapo amelelewa na baba ake mzazi hadi alipofika kidato cha 4 mwaka jana. Akiwa kwenye mitihania kwa bahati mbaya baba ake naye akafariki kwa ajali ya gari, baada ya matokeo mwaka huu hakubahatika kufaulu kwenda 4m 5. Kusema ukweli ana maisha magumu sana na hana wa kumsaidia, hvyo amekuja kwangu na kuniomba nimsaidie sehemu angalau ya kupata kibarua, ki ukweli uso wake unatia huruma na mm bdo mwanafunzi na sina chanel ya vibarua, kama kuna m2 anachanel ya kazi naomba msaada wake. Nategemea msaada wenu tumsaidie yatima huyu anayekata tamaa ya kuishi. KARIBUNI
Ma hg wengine wanalipwa kima cha chini kabisa wala usimkatishe tamaa mbu, anaweza fanya hiyo huku anaenda shule pia...dah, hii inasikitisha sana.
Vipi Wajomba zake, shangazi, mama wadoko kwa wakubwa, baba wadogo/wakubwa?
hana kaka wala dada?...msaada wa maana hapo ni kumuendeleza kielimu. Angalau ajue hata ku type kwa computer (secretarial courses)
Mw'mungu amuepushie wataotaka kumfanya house girl!

...dah, hii inasikitisha sana.

Vipi Wajomba zake, shangazi, mama wadoko kwa wakubwa, baba wadogo/wakubwa?

hana kaka wala dada?...msaada wa maana hapo ni kumuendeleza kielimu. Angalau ajue hata ku type kwa computer (secretarial courses)

Mw'mungu amuepushie wataotaka kumfanya house girl!
Mbona mtoa mada kaingia mintini, nahisi kama anaweza kuwa bf wake...sorry, lakini hebu aje ajibu maswala ya muhimu hapo na dio tutajua tufanyeje.
ha ha ha!
HOMEBOY NIMEKUSTUKIA
ha ha ha ha ha ha!
sichangii kwenye hii sredi
Hommie ndo unataka kusema??????????????ha ha ha!
HOMEBOY NIMEKUSTUKIA
ha ha ha ha ha ha!
sichangii kwenye hii sredi
Hommie ndo unataka kusema??????????????