Hureee... Umetokaaa.....!!!

Natembea na kipande cha mkaa ndimu na kitunguu saumu.... Inaitwa triple action

Sent using Jamii Forums mobile app

mshana jr
Nipe mchanganuo wa action hii nimkomeshe huyu mmama hapa jirani. Yaani, saa 12 asubuhi ati anaomba chenji awape watoto nauli za kwenda shule. Usipompa, hatoki hapo anahesabu mapene uliyopokea hapo dirishani kisha maneno sasa! Ooh, wadhani mimi mchawi, wadhani nina hata zongo, wadhani ninaloga, wadhani miye chuma ulete.. yaani hadi kero. Nipe hiyo combi nimmalize
 
Kesho mpe Mia tano za noti ulizokata vichungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…