Weka picha Nikione..... Ohh kile kirefu kileMkuu unamaanisha miss chagga avae kibukta kama kile cha kwenye avatar ya Evelyn Salt ?
Weka picha Nikione..... Ohh kile kirefu kileMkuu unamaanisha miss chagga avae kibukta kama kile cha kwenye avatar ya Evelyn Salt ?
Aise upo vizurhapo naiona m3 laki 2 na buku 5
uko vizuri babu
mshana jr umetuibia, mbona Risit imeandikwa tarehe 9 August 2017? Huu ni mshahara au marupurupu?
Hebu nirushie we mpare acha maneno mengi..
Raha ya kazi marupurupu...leo nitakuja Msata kukusalimia...ha ha ha
Karibu kwa mikono miwili na miguu yake yoteRaha ya kazi marupurupu...leo nitakuja Msata kukusalimia...ha ha ha
Kuna mtu kanitumia msg atakuwa anajua leo makinikia yameingia ngoja nijifanye nipo busy sijaisoma
Zile tarehe ambazo nyie wanaume, ukiwa na bebi wako, hata ukijamba anakwambia "POLE BABY HUJAUMIA?"hizi ndio zile tarehe za bebi l miss you.... Bebi I love you... Ama bebi sikia nikwambie.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna binti humu nilikuwa namzimia angekuwa anakula makinikia yangu mida kama hii lkn mungu ni mwema kanirudishia akili yanguhizi ndio zile tarehe za bebi l miss you.... Bebi I love you... Ama bebi sikia nikwambie.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi hela za nchi hii zinavyochoka haraka ni bora azitakatishe...zibaki Mpya!Kudadandunyi,Mshana utaenda kupimwa makojoo,nyara ya sirikali unaanika hadharani ovyo.Ngoja waje waseme una takatisha pesa.

no ni buku 7 iyo mkuuhapo naiona m3 laki 2 na buku 5
uko vizuri babu
Kwa jinsi hela za nchi hii zinavyochoka haraka ni bora azitakatishe...zibaki Mpya!Kudadandunyi,Mshana utaenda kupimwa makojoo,nyara ya sirikali unaanika hadharani ovyo.Ngoja waje waseme una takatisha pesa.
Zile tarehe ambazo nyie wanaume, ukiwa na bebi wako, hata ukijamba anakwambia "POLE BABY HUJAUMIA?"
usijali mtani leo ni siku yako. vyote vyako