Mimi nimekataa kuongozwa na mshamba limbukeni wa ubeberu ambaye tulimpa miaka 5 hamna alichotufanyia zaidi ya kututeka tuWaingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"
Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!
Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!
Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
Jibu hoja siyo unaandika chochote kinachokuja akilini au ni kichaa ?Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Ndio nyie mlimdanganya meko kwamba upinzani umekufa afu sasa hivi mzee anahangaika na kutapatapa. Acheni unafikiUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Waingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"
Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!
Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!
Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
Magufuli bana! Anatufanya sisi mazuzu, alituahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka 2015 kabla hajawa Rais. Alipoapishwa akatugeuka kwa madai anajenga stigler's gorge, standard gauge na ma-flyover. Sasa anakuja na ahadi ile ile!
Hatudanganyiki!
Watanzania tusikosee tena kama 2015 tumeona namna miaka mitano ilivyokuwa michungu kwa watanzaniaWaingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"
Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!
Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!
Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
Sidhani Kama kuna mtumishhi yeyote anaeweza kumchagua huyu bwana tena,Kama mtumishi anayejielewa hawezi kumpa kura tena magufuli. Kitendo cha kuondoa fao la kujitoa, kutoongeza mishahara halafu anakuja kuongeza makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% then anatoa kauli za vitisho eti kama umechoka acha kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yani ni spana ya utosi mapema sana
Kumchagua jiwe ni sawa na kumkopesha tena mtu unaemdaiWaingereza wana msemo usemao: