Amina..Wabarikiwe wote wanaowapa thamani watoto wao na kuwasamehe makosa yao pasipo masharti. Upendo wa dhati husitiri wingi wa makosa. Waombee heri watoto wako!
Hii comment ndio inayobeba thread nzima na bila haya uliyoyaeleza huo upendo hautazaa matunda mema,kila mzazi anawapenda watoto wake lakini yaliyobeba comment hii yakizingatiwa yataleta matunda mema kadhalika upendo bila control ni hatari sana,sometimes inabidi mzazi u act ukauzu kidogo hasa pale watoto wanapofanya ndivyo sivyoUsisahau kuwaadhibu wanapokosea wafundishe maisha kuna kupata na kukosa usiwadekeze wape kazi ngumu na nyepesi. Wafundishe kutunza pesa elimu ya dini kidogo isizidi kipimio, wafundishe technology na biashara, control taarifa anazozipata kwa njia ya television.
HakikaAmina..
Ila ni vyema kumuadhibu mtoto anapokosea kwa manufaa yake ya baadae.
Masharti ni kama vile kumfukuza binti baada ya kupata ujauzito au kijana anapokataa shule na kuwaacha wanatanga tanga mtaani kama asiye na wazazi.Wakikosea niwasamehe hata bila masharti, una maana gani?
Watoto wafundishwe adabu, wakikosea wachapwe viboko na adhabu zingine zinazohimilika. Hili ni agizo la Mungu.
Unconditional love ni kitu chema, ila pamoja na huo urithi, usipoutumia urithi vizuri unageuka kuwa laana.
Hakika...Amina
🤣🤣🤣🤣 Ila Jirani bhana...acha masiharaHakika...
Ungekua huja comment kwenye hii thread, haki ningejamba mbele ya mkutano wakati kila mtu yupo busy taking notes...