Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,573
Daah bro umeshinda ngojea nilale.Sasa ona yule mtu aliyesema "nawapenda wakenya na naipenda Kenya" akisema mambo yakukanusha vile alivyosema .Haya nenda uwaambie wale foreigners wengi wamefanya Nairobi makao yao ati maisha ni mabaya sana kule .