HUNGER IN KENYA: Poor planning and inaction to blame for food insecurity

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
9,809
2,000
Kenya haijajipanga, njaa imekuwa tishio kwa nchi. Bei za vyakula zinazidi kupanda kila uchwao. Hakuna tumaini kwamba kuna siku zitashuka. Tatizo haliko kwenye majanga ya asili kama ukame, bali ni kuto jipanga. Kutumia ardhi kubwa kulima mazao ya kusafirisha nje ya nchi, ilhali, wananchi wakikosa mazao ya chakula. Pia pesa za kigeni ambazo zinapatikana kwa kuuza mazao nje hazitumiki kununua chakula kwa ajili ya wananchi wanaokufa kwa njaa. Hivyo kupelekea theluthi ya wakenya kuathiriwa na baa la njaa.
Soma zaidi:
1566898329489.png
 
babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
6,842
2,000
Kinachowaponza hawa kunyan ni uzembe, kujifanya wachapa kazi kumbe ni wavivu balaa, ujuaji mwingi nk
Kenya haijajipanga, njaa imekuwa tishio kwa nchi. Bei za vyakula zinazidi kupanda kila uchwao. Hakuna tumaini kwamba kuna siku zitashuka. Tatizo haliko kwenye majanga ya asili kama ukame, bali ni kuto jipanga. Kutumia ardhi kubwa kulima mazao ya kusafirisha nje ya nchi, ilhali, wananchi wakikosa mazao ya chakula. Pia pesa za kigeni ambazo zinapatikana kwa kuuza mazao nje hazitumiki kununua chakula kwa ajili ya wananchi wanaokufa kwa njaa. Hivyo kupelekea theluthi ya wakenya kuathiriwa na baa la njaa.
Soma zaidi:
View attachment 1191121
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,169

Daaah hili sio jambo la kufurahia aisee wanatia huruma mpk machozi ujiran mwema itabidi ufanye kaz hapa.
 
babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
6,842
2,000
Tatizo wanaangaika ni vitu visivyo na tija yoyote.
Sasa unajua nchi yako kuna kaujangwa kiasi fulani alafu haulimi mazao yanayohimili hizo sehemu, (chukulia mfano singida, Dodoma mazao wanayolima pale)
Alafu tena ile sehemu yenye rutuba unalima mazao yasiyo faa kwa chakula ni akili au matope.
Mipango, mipango, mipango.
Hawana mipango madhubuti ya kukabiliana na baa la njaa.
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,650
2,000
Hata sisi tunajua Bongo watoto wanakufa njaa, utapiamlo, magonjwa na kukosa matababu mema na pia wanakula KINYESI. Thanks πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,650
2,000
Endelea kubonga mob.
Hapo pa ATCl unasiia Kama unaweza jitia kitanzi? 😭😭😭 Pole Dona kanti...we ar on ze rait traki...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Penda Sana.... I don't know what I would be without Tz sarakasi/comedy...JF sitoki kamwe stress za Failed State zinamalizikia humu. joto la jiwe njoo uone ninavyo wapiga mijeledi wenzako kwa forum Yao.
 
babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
6,842
2,000
Endelea may be itamaliza njaa iliyoko kenya.
Hapo pa ATCl unasiia Kama unaweza jitia kitanzi? Pole Dona kanti...we ar on ze rait traki... Penda Sana.... I don't know what I would be without Tz sarakasi/comedy...JF sitoki kamwe stress za Failed State zinamalizikia humu. joto la jiwe njoo uone ninavyo wapiga mijeledi wenzako kwa forum Yao.
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,650
2,000
Endelea may be itamaliza njaa iliyoko kenya.
Hebu tuelezee kinyesi iko namna gani bro? Hope sio ssabu yako ya kuwa mkali na mwenye majungu mengi hivi...unaongea Kama mtu aliyeharibu sura akijaribu kumeza kinyesi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,650
2,000
Achana na huyu aliyebakiwa na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
Ukimuona akichukua nguo zako wakati unaoga mtoni, usijaribu kumfukuza, muache tu.
:) 🀣 :p
Vipi Kaka, pipeline imefika wapi? Picha zitasaidia.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom