Huna haja ya kuniomba msamaha, ushamba wako ndio uliokuponza.

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
6,305
10,582
Wakuu kwemaaa kabisa!

Nkamwambia usiniombe msamaha, hayo ndio matokoe ya ushamba na ujuaji, nilikuambia usiooe mwanamke asiye na bikra, hukunisikia licha ya kukushauri kwa nguvu zote. Tena mpaka sikutoa shilingi 200,000 ya mchango wako wa harusi, hukunielewa, ukaninunia na kuniwekea chuki.. Mimi nikakuambia sawa, ni bora unichukie lakini siwezi kukusapoti kwenye ushubwada wako.

Baada ya harusi yako mwaka juzi 2019, ndoa yako ilianza kuyumba mieze mitatu baadaye, ukapambana wee, ukahenyeka weee kuipigania ndoa yako lakini wapi, mwanamke akakutoa knockout mate nje.

Mwaka jana ndio ukawa mwaka mchungu kwako, kila siku kwenda kwenye mabaraza ya wazee kusuluhihswa, kila siku na mkasa wake, mikasa yote ni ya umalaya. Mara sms ya Ex wake, mara video call, yaani chamoto ulikiona.

Mwaka jana ukanipigia simu kuniomba tukutane, nikakuambia kama ni kuhusu masuala ya ndoa yako usinishirikishe, ukanililia ukiomba msaada, nikakuambia Majuto ni mjukuu, pambana na hali yako.

Mwaka januari ukaja nyumbani kwangu, ukanielezea kila kitu, nikakuambia hayo niliyajua ndio maana nilikukataza usijiingize mkenge kuoa wake za watu, hana bikra usioe, ukajiona mkubwa.

Juzi hutaki kwenda kwako, ati ulale hapa kwangu, kwako pamekuwa pachungu kama pakanga, panachachafya kama ugoro puani mwa Yero masai. Unaniambo msamaha kwani ulinikosea nini ndugu, mimi nilikushauri tuu.

Wewe si ulisema mtu ana badilika, ulisema mkeo alijutia makosa yake, akakuahidi kukupenda, tena ulimsifia anatabia njema, licha ya kukuambia kuwa kama angekuwa na tabia njema basi ungekuta anayo bikra, ukajifanya mtaalamu wa mapenzi kama Shulkani wa India, haya muimbie sasa kuch kuch hotae. Mkacheza Habibi aburunnare.

Ushamba wako umekuponza, ulijitia fisi kula mzoga kwa uvivu wako wa kuwinda.

Vijana mliobakia, Oeni Bikra msije onja uchungu wa pakanga

Zilizo nyingi sasa hivi ni za mchina
 
unasema 90%, hapaf sample ni mshikaji wako ambae ni mmoja tu?
umeshadanya more research?

Research nishaifanya, uzi wa leo haukuwa research, ipo research nimeshaiandikaga humu, wewe sema hujui kutofautisha katika ya maoni na utafiti
 
Back
Top Bottom