Humud Mohamed Humud: Aliyemtwanga risasi nane Mzee Karume; kila risasi kwa mwaka aliotawala

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,246
7cebbb82ac059c883630fb433eb28df1.jpg
 
Wote sasa wapo mbele za Haki, alieua, alieuawa na Alietengeneza huo Mchongo ili kulinda Muungano usivunjike kwa kuwa Mzee Karume alipanga 1974 ifanywe review kujua Kama Znz iendelee au laa na Muungano
 
Na benn serikali ilimmaliza

Swissme
Mzee hata Marekani serikali inaua ukileta za kuleta. Unakumbuka wale black American waliouawa na polisi hadharan kabisa tena mchana wakati wa utawala wa Obama.

Hakuna serikali inayoweza kufanya makosa ya kucheka na mtu mmoja anaehatarisha Aman ya jamii kubwa au anaedharau dola.

Serikali sio kitu cha mchezo mchezo tu. Lazima uwe na adabu.
 
Wote sasa wapo mbele za Haki, alieua, alieuawa na Alietengeneza huo Mchongo ili kulinda Muungano usivunjike kwa kuwa Mzee Karume alipanga 1974 ifanywe review kujua Kama Znz iendelee au laa na Muungano

Ili isionekane kama ni mastory tu ya vijiweni, tupeane na ushahidi kidogo
 
Ili isionekane kama ni mastory tu ya vijiweni, tupeane na ushahidi kidogo

Ushahidi wa namna gani kwa mfano?

Usiwe una dharau taarifa za vijiweni zile ndio original, zile za idara ya habari Maelezo zinakuwa tayari zimepitia Maabara! Rejea ya Roma Mkatoliki na Mwakyembe!

Kwa Mfano ukiambiwa gari ya Sokoine ilikuwa katikati ya Magari ya Msafara na Yeye akiwa Siti ya Nyuma kafungwa Belt Vizuri lakin ikatokea gari ikapita magari yote bila kuzuiwa then ikagonga gari ya Sokoine kwa mbele akafa aliekaa siti ya Nyuma peke yake wote waliobaki hata Michubuko hawakupata na baadae yule dereva toka South Africa aliuwa akaachiwa kwny Mazingira ya ajabu Bado utahitaji Ushahidi kuwa ajali ile ilipangwa?
 
Back
Top Bottom