Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,567
Ndio wakongwe mjitafakari ila we nakuaminia huchagui hubaguiNa member wapya wanaonewa saana sijui kwanini
Ndio wakongwe mjitafakari ila we nakuaminia huchagui hubaguiNa member wapya wanaonewa saana sijui kwanini
Labda uliingia kibabeMie hawakudhubutu bhana
Hahah
Nimekutaja bro chungulia makabrasha vizuri
Poa poa mkuu hakuna mbaya broCredits lazima ziende kwa wakongwe kama nyie bwana. Nitakucheki baadae nikupe updates aseeh
ha ha ha daby asante kunikumbuka
eti wema vs mbowe ha ha ha mtasema makonda anamchafua mbowe kwa kiki za siasa.Wacha tusubiri tuone ila ile sauti ya wema kabisa sijui kwa mbowe ila ngoja time will tell
ndo narejea hivi ila kuna watu siwaoni @Richpol Kipaji Halisi Omerta Dinazarde na wengine wengine....
sijambo shikamoo kaka.Hujambo mtoto
alhamdullilah..nakusalimia boss wangu.
Marahaba..Nimekumiss hadi naumwasijambo shikamoo kaka.
mie nipo nimerejea..Marahaba..Nimekumiss hadi naumwa
Nimekumisshata cute b...??
Rudi mkuu.hapa ni cute b unamwambia...njoo nirudishe mama...